KERO Changamoto za watumishi na taasisi za mikopo kwenye mfumo wa ESS

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Outsiders

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
26
Reaction score
35
Kumekuwa na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;

1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.

2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.

3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.

4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenye mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.

mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
 
Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;

Kuajiriwa ni utumwa
 
Kwani lazima kukopa?

Mimi nafikiri Mtumishi wa Umma angalia namna nzuri ya kula rushwa kazini kwako kwasababu mikopo ni hatari kwa afya ya binadamu.
 
Yaani hata deni la HESLB nalo haliuziki na Bodi ya Mikopo wako kimya wakati watu wakiuza hayo madeni na Bodi nayo inafaidika kwa kukusanya fedha zake ndani ya muda mfupi kutoka kwa wale wanaoamua kuuza deni la HESLB.
 
Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;

1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.

2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.

3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.

4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenye mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.

mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
Mkuu kabla ya kushauri nadhani tungeanza kwanza kutoa pongezi. Mfumo wa ess umerahisisha baadhi ya mambo kwa upande wa mikopo kam vile kuokoa muda na gharama za kumfuata mtoa huduma/mkopeshaji, kuweza kujikadiria mwenyewe (calculation) kwa utulivu tofauti na hapo awali.
Kuhusu riba kubwa hiyo ni kanuni ya mfumo wa uchumi wa kibepari huwezi kukaa na hela ya mtu kwa miaka 7,8,9+ halafu urejeshe kwa riba kiduchu. Ukitaka riba isiwe kubwa chukua kwa muda mfupi mfano mwaka mmoja.
Kuhusu restructuring ishu ipo kwa mabank lkn siyo ess, mfumo unaruhusu kufanya hivyo lkn mabank yenyewe kama watoa huduma hawajaweka sawa mifumo yao ya ndani mfano kuruhusu mteja kupata salio au statement ya deni au marejesho yake, kuweka mfumo wa ulipaji wa deni manually/cash nk.
But all in all mimi naona Ess imekuja kurahisisha mambo mengi
 
Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;

1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.

2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.

3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.

4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenyell mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.

mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
Unaotaka wakusikilize Wana faida na unyonyaji unaoendelea usitegemee mabadiliko wewe kopa na uwe mwangalifu na matumizi ya fedha unayokopa ili maumivu ya marejesho yasiwe ya kudumu
 
Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;

1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.

2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.

3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.

4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenye mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.

mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
. Mpaka unafika hatua ya kukopa, lengo linakuwa ni nini hasa,??? 🤔 🤔.

. Kama ni mtaji hautafutwi kwa kukopa mkuu. ( hapa lazima udundulize na siyo kukopa Aise)

Mimi nikienda bank 🏦, watumishi wa pale lazima waanze kunibembeleleza, boss kopa ufanye Malengo ya baadae, ( wanafanya hivyo kwa sababu account ni ya mda mrefu, lakini sijawahi kukopa hata senti mia)
Lakini kila nikiangalia sioni umuhimu wa kukopa pesa 😎 😎.

Mkuu Bush Dokta naomba uje utoe neno huku la Busara..
 
Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;

1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.

2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.

3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.

4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenye mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.

mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
Kila mwaka wanajisifia tu kupata faida ya mabilioni mbwa hawa kupitia majasho ya wafanyakazi na wafanyabiashara. Riba kubwa, unachopata hata hakiendani kabisa na unachotoa.

Hizi riba zinatakiwa zipungue ili kila upande unufaike.
 
Back
Top Bottom