Kuajiriwa ni utumwaKumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;
1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.
2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.
3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.
4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenye mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.
mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
Atoto utakula chakiKwani lazima kukopa?
Mimi nafikiri Mtumishi wa Umma angalia namna nzuri ya kula rushwa kazini kwako kwasababu mikopo ni hatari kwa afya ya binadamu.
Mkuu kabla ya kushauri nadhani tungeanza kwanza kutoa pongezi. Mfumo wa ess umerahisisha baadhi ya mambo kwa upande wa mikopo kam vile kuokoa muda na gharama za kumfuata mtoa huduma/mkopeshaji, kuweza kujikadiria mwenyewe (calculation) kwa utulivu tofauti na hapo awali.Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;
1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.
2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.
3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.
4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenye mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.
mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
Unaotaka wakusikilize Wana faida na unyonyaji unaoendelea usitegemee mabadiliko wewe kopa na uwe mwangalifu na matumizi ya fedha unayokopa ili maumivu ya marejesho yasiwe ya kudumuKumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;
1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.
2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.
3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.
4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenyell mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.
mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
. Mpaka unafika hatua ya kukopa, lengo linakuwa ni nini hasa,??? 🤔 🤔.Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;
1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7 hadi 8 hii ni unyonyaji wa hali ya juu,, kama kweli mnataka mtumishi ajikwamue kimaisha serikali isimamie hizi riba ni kausha damu.
2. Mtumishi hawezifanya Restracture ya mkopo waķe either apunguze muda wa marejesho ama aongeze muda,, mfumo wa ESS unagoma na hata ukienda kwenye taasisi hizo hasa NMB ni wazito kumsaidia mtumishi.
3. Huduma zote zinazo husu mkopo wa mtumishi zipatikane kwenye mfumo wa ESS ili kupunguza msongamano maofini.
4. BANK ziweke mfuko wa makubaliano (negotition room) ya mkopo Kwenye mfumo ambapo mtumishi ataweza kuomba kupunguziwa au kuongeza muda wa marejesho kulingana na hali yake ya maisha na kipacho chake.
mkopo uwe Afya kwa mtumishi nasio utumwa kwa taasisi za mikopo hasa NMB na zingine
Rushwa ya shule ni mkuu wa shule kupokea rushwa ya kuwapa wanafunzi nafasi ya kuhamia, kuna nyingine?Kwamba shuleni hakuna mazingira ya rushwa?
Chunguza vizuri utapata pesa hapo.
Kila mwaka wanajisifia tu kupata faida ya mabilioni mbwa hawa kupitia majasho ya wafanyakazi na wafanyabiashara. Riba kubwa, unachopata hata hakiendani kabisa na unachotoa.Kumekua na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;