Changamoto zikikunyoosha usitafute wa kumlaumu, komaa mpaka uwe kati ya waliofanikiwa kwenye mazingira magumu

Changamoto zikikunyoosha usitafute wa kumlaumu, komaa mpaka uwe kati ya waliofanikiwa kwenye mazingira magumu

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU.

1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa.
2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku
3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja.
4. Ukisema mshahara mdogo wapo wenye mshahara wako wanafanya makubwa.

WALIOFANIKIWA WASIFANYE UJIONE UNA MKOSI BALI WAKUPE HAMASA KUWA KUNA UWEZEKANO.

Ukiona kuna watu wanafanikiwa kwenye mazingira ambayo kwako ni magumu iwe ni kiashiria kuwa UWEZEKANO upo ila yawezekana muda wako tu bado ama kuna sehemu unakosea.

#fikia ndoto zako.
 
Kisaikolojia unamaisha magumu. Ukikasirika poa tu mi nakunywa pepsi nalala.
 
Back
Top Bottom