Wasalam,
Nimeona na kushughudia kwenye nchi zenye umaskini mkubwa kuwa mtu ukiwa na muonekano labda rangi ya ngozi mathalan ukawa ngozi nyeupe kama ndugu zetu waarabu au maji ya kunde ile ya mng'aro basi inakuwa ni shida sana kwenye mitaa au masokoni au sehemu yoyote ile.
Ukiwa na rangi ya ngozi au una muonekano fulani kwa mwanaume handsome na kwa mwanamke cute, unakuwa huna amani wala uhuru wa kuishi vile unavyotaka, ukienda kununua kitu hata cha mtumba basi watakushangaa na kukuona kama hustahiki kuvaa mitumba na hata ukinunua utapigwa bei ya juu tofauti na atakapokwenda mtu mwenye muonekano wa kawaida tu.
Nimeshughudia mwamba fulani alienda kununua kiatu bei aliyopigwa ni tofauti na bei aliopigwa mtu mwenye muonekano wa kawaida, kwakweli inaboa watanzania walio wengi wanaamini mtu mwenye muonekano mzuri anastahiki aishi pazuri, alale pazuri, avae vizuri, hata akipanda daladala basi wanahisi kama hastahiki kutumia ule usafiri kwakweli mnaboa.
Na ndiyo hii hali inawapelekea vijana wengi wakijigundua tu kuwa wapo na muonekano wa kuvutia wataanza kufake maisha ili waendane na maono na mitazamo ya watu wengne.