Changamoto..

Joined
Oct 28, 2012
Posts
5
Reaction score
2
Kuna biashara nyingi sana napata ziona watu wakizifanya na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sanaaa,,,.na hii nikwasababu ya kupata elimu na uelewa mkubwa wa biashara hizo,wanaf;
Wale wenye uzoefu na mawazo chanya pia na wanao jishugulisha na biashara kama ya BAR,PUB,GEUST HOUSE, hv hzi biashara nahsi ninzuri na zinalipa sana ila ningependaa kujua moja mbili tatu changamoto zinazopatikana katika biashara hzi ni kama zipi???...
 
Biashara za Bar, Guest, Pub zinahusiana na zina matatizo yanayofanana. Kwanza zinahitaji usimamizi wa karibu kwani wafanyakazi kukuibia ni rahisi sana kama hfiki mara kwa mara kwenye biashara yako. Kama zilivyo biashara zingine unahitaji utafiti kuzianzisha, mambo ya kuzingatia ni location, mtaji ushindani nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…