Changia Playlist ya Mchungaji...

Changia Playlist ya Mchungaji...

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Natafuta:

1. Mayaula Mayoni- Mbongo
2. Oliver Ngoma- Bane
3 Victoria Eleyson
4. Tshala Muana- Ntambue
5. Wenge Musica BCBG

Nitaongezea zaidi baadaye...
 
Ngoja Balantanda arudi.. utafurahi!! Ila wachungaji wanaruhusiwa kusikiliza hizi kweli?
 
umepotea sana mchungaji...........!
muzee wa ''TUMEUZA UHURU WETU NA MALI ZETU TUMEMZIFUJA....''
muzee wa ''IN LOWASSA I TRUST''
 
Mwanakijiji, Neno linasema ili kuokoa shurti uwe karibu na watu...:becky:
 
Kule Yutubu nimekutana na kina Makwizi za Nasema sina ndugu, King Kiki na nyingine za Msondo, Mlimani na lahaula walakwata zimenikumbusha mbali sana!
 
Mchungaji,

Bane na Mbongo utazipata kutoka kwangu ila subiri kwanza niziweke kwenye MP3 maana ninazo kwenye CD.

Je unataka ziwe katika quality gani? Yaani kati ya 320 - 128 kbps. Nafikiri unafahamu kuwa good quality inaenda na ukubwa wa file.

Hizo nyingine sikumbuki kama ninazo............ ntaangalia.
 
Bozi Boziana
Madilu system
Lokassa ya Mbongo..

Unataka kuburn or :becky:
 
Salamu kwa mpigo, nahitaji high quality na nita unguza nikizipata
 
Och Shamashama and Mopero
Pichouna
OkomiKolangwa
Vicky Shamashama
Massassu


Also try K'Naan music it has a revolutionary drift.
 
Ngoja Balantanda arudi.. utafurahi!! Ila wachungaji wanaruhusiwa kusikiliza hizi kweli?
Kwani Mwanakijiji ujui hata kwenye nyimbo za kwaya, wanaondoka kindombolo ya solo na mayenu ya nguvu... wanakwenda na wakati ati.
 
Unazitaka hizi? Ninaweza kukuwekea link kama unahitaji.....

Och Shamashama and Mopero
Pichouna
OkomiKolangwa
Vicky Shamashama
Massassu


Also try K'Naan music it has a revolutionary drift.
 
Back
Top Bottom