AfroMonster
Member
- Jun 7, 2018
- 68
- 78
Tuchangie Yatima
Tuchangie wajane
Tuchangie watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu
Tuchangie walemavu.
Harafu tuwachangie na Yanga ? Hebu acheni ujinga nyinyi Ynga aisee. Hamuoni aibu kabisa ?
Kama vipi kitimu chenu kibadilini jina mkiite Vijana wanaoishi katika mazingira magumu.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app