Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello wana Jf. Kwa wale wazazi wana watoto wachanga wenye kusumbuliwa na chango la tumbo.Kuna mbaba anayetibu kwa njia ya mbadala na mtoto anapona kabisa anaacha kulia, mimi mwenyewe Ni shuhuda ,nina mapacha walikuwa hawalali usiku Ni kulia tu niliwapeleka hapo akawapaka mafuta fulani kwenye tumbo na kuwafanya massage therapy na kuwapa dawa ya unga ya siku 3 naona wameacha kulia na wanalala vizuri kabisa. Huyu baba yuko Sombetini Arusha na bei yake ni 10000 kwa mtoto mmoja mpaka apone, Wakuu sio kama namtangazia biashara ila najua adha sisi wazazi tunayopata kwe wenye watoto wanaosumbuliwa na chango. Nimeshindwa kuweka number ya simu hapa kwa sababu fulani. Kama unayo h iyo shida please don't hesitate to contact me via hapa..