Chango/mchango tatizo la uzazi.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Habari zenu wadau,

shemeji/wifi yenu anashindwa kupata ujauzito sababu ya hilo lidude kwa maelezo yake, yaan analalamika kuwa humchoma sana na kuunguruma siku ya 1 akiingia period na siku ya mwisho akimaliza.

Pia siku za kawaida humsumbua kidogo. Kuna dawa za kienyeji anatumia lkn mafanikio hamna.
Ushauri/msaada tafadhali.

Ni mwaka wa 4 sasa hamna kitu.
 
Mmepima au kuonana na daktari? Isije ikawa yeye yuko fresh while wewe...
 
Alionana nao wa hizi za wilayan,
lkn akalalamika kwamba hawana vifaa kama ultra sound pia hawaco competent,

mwez wa 9/2014 alienda seketure mwanza akaangaliwa akaambiwa ana majimaji kwenye mfuko wa uzazi ndo akapewa vidonge na kweli alikiri kuwa alikuwa akiyaona lkn alihis ni kawaida, kwa ss amepona hilo tatizo la majimaji ambayo anahisi yalichangiwa na fungus alizougua kwa muda wa mwaka mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…