Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Habari zenu wadau,
shemeji/wifi yenu anashindwa kupata ujauzito sababu ya hilo lidude kwa maelezo yake, yaan analalamika kuwa humchoma sana na kuunguruma siku ya 1 akiingia period na siku ya mwisho akimaliza.
Pia siku za kawaida humsumbua kidogo. Kuna dawa za kienyeji anatumia lkn mafanikio hamna.
Ushauri/msaada tafadhali.
Ni mwaka wa 4 sasa hamna kitu.