We binti, unajua hilo neno ni TUSI,tena la nguoni........................Yaani unamtukana baba yako hadharani namna hii!Hahhahahahahhaa...hii inakuhusu mwenywe wala usijitee kbs..
Mr Gustavo;‘Amigo, comistas abrigado tuto bene, quivichino ...........................!
Nimecheka sana ,aah mzee Gustavo Mtambuzi from Capo delgado (Mozambique) au Lisbon (portogues)? Ama kweli pesa sabuni ya roho mimi nilifikiri mlevi ukimwaga pombe yake inakuwa hatari kumbe hata ukichomoa wallet yake napo balaa!! Maisha yako ujanani ilikuwa balaa..halafu hujasema hivi kama ungefanikiwa kutoka salama ungempeleka barafu wako Sheraton? au ungempiga girini gani?
Tulibaki kucheka tu ndani ya gari na kila nikionana na huyu Kwaku Kunto huwa tunakumbushana enzi zetu na tunacheka sana. Jambo ambalo kwa kweli linaniumiza moyoni ni kifo cha huyu rafiki yetu aka Dumisani Fanyana aliyefariki mwaka juzi baada ya ku-commit suicide kutokana na Dipression....................RIP Dumisani*Mzee Gustavo
Ukaharibu deal na vijicent vyako vya ngama! Mlimalizana vipi na akina Kwaku kunto na Dumisani Fanyana baada ya kuwabomolea deal ?
Unajua nililivamia hili jiji kwa pupa sana, na nilipambana na mikasa mingi ya maisha, nikisimulia mikasa yangu yote humu JF, kuna wanangu wanoko lazima watamweleza mama Ngina wakati anajua mimi ni MTAKATIFU, kwani tulikutana KANISANI baada ya kumuasi yule mwovu SHETANI na kuzaliwa upya, sasa akisikia habari za GUSTAVO, itaondoa ule utakatifu nilionao.Nimecheka sana kuanzia mwanzo hadi mwisho, natamani wanao wasikie story za enzi zako maana hawatathubutu kuleta ujanja wowote mbele yako......though mwishoni changu aliharibu movie.(au ilitakiwa iishe hivo)
Hahahahhahahh!,We binti, unajua hilo neno ni TUSI,tena la nguoni........................Yaani unamtukana baba yako hadharani namna hii!
Yaani leo utanitambua ukirejea nyumbani jioni, lazima nikushikishe adabu...
Hivi ni nani amekufundisha hayo mambo ya "UTUKUFU"?Hahahahhahahh!,
Utakuwa umenifundisha mwenyewe maana nimekopi na kupest kwa alipoandika baba lol!
Ukinianzishia tu na mie nakuharibia kwa maza alafu tuone nani itakula kwake!!
Heeee hheeee,
Huu UTUKUFU huu hatimaye baba yangu ukawa mreno gafla lol!
Hahhahahahah!Hivi ni nani amekufundisha hayo mambo ya "UTUKUFU"?
Thubutu yake, apige mkwara kwa kireno mpaka mkalimani amalize kutafsiri na changu si ashaondoka na wallet?...lolTeheee tehee heee!nimecheka mpaka basi lo!kwani ilishindikana kupiga huo mkwara kwa kireno jaman
Tehee teheee,na kweli bora tu alivyoamua kama noma na iwe noma na kulianzisha,yani majaribu kuvuta picha ya tukio najikuta nacheka bila kikomo,km ni kweli nampa pole.Thubutu yake, apige mkwara kwa kireno mpaka mkalimani amalize kutafsiri na changu si ashaondoka na wallet?...lol
Wacha tu mamaD, mie mwenyewe kicheko hakikauki kila nikivuta picha ya Gustavo wakati anadai wallet irudishwe...lol.Tehee teheee,na kweli bora tu alivyoamua kama noma na iwe noma na kulianzisha,yani majaribu kuvuta picha ya tukio najikuta nacheka bila kikomo,km ni kweli nampa pole.