M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Najua kuna watu humu watajua inanihusu mimi......................Nasema mshindwe kwa jina la Yesu..........LOL
nimecheka sana mkuu....inafurahisha kwa kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua kuna watu humu watajua inanihusu mimi......................Nasema mshindwe kwa jina la Yesu..........LOL
Bora kama umenyooka kwa sasa manake daaah!Enzi hizo nilikuwa nimepinda ila siku hizi nimenyooka kwa sababu ya mama Ngina
FirstLady nitake radhi, tena mbele ya wanangu wooote, mimi sikuwa Mzinzi hata kidogo, nilikuwa nahamasisha Machangu waache uzinzi, ila yule jamaa aliyetupeleka pale Maeda, alitaka kunitia ibilisi, lakini kwa jinsi mtumishi wa Mungu ninavyolindwa na malaika hatimaye nikaokolewa katika kinywa kile cha shetani..................... Bwana Yesu asifiwe sana............Aaaaaamen!Mtambuzi na wewe ulianza uzinzi long ,na imani sasa umeacha napenda kujua kama wallet isingeibiwa mngeenda kupumzzika wapi na hao machangu maana hiyo gear mlokuwa nayo kaaz kweli kweli
Aaaaaamen!FirstLady nitake radhi, tena mbele ya wanangu wooote, mimi sikuwa Mzinzi hata kidogo, nilikuwa nahamasisha Machangu waache uzinzi, ila yule jamaa aliyetupeleka pale Maeda, alitaka kunitia ibilisi, lakini kwa jinsi mtumishi wa Mungu ninavyolindwa na malaika hatimaye nikaokolewa katika kinywa kile cha shetani..................... Bwana Yesu asifiwe sana............Aaaaaamen!
FirstLady nitake radhi, tena mbele ya wanangu wooote, mimi sikuwa Mzinzi hata kidogo, nilikuwa nahamasisha Machangu waache uzinzi, ila yule jamaa aliyetupeleka pale Maeda, alitaka kunitia ibilisi, lakini kwa jinsi mtumishi wa Mungu ninavyolindwa na malaika hatimaye nikaokolewa katika kinywa kile cha shetani..................... Bwana Yesu asifiwe sana............Aaaaaamen!
Najua kuna watu humu watajua inanihusu mimi......................Nasema mshindwe kwa jina la Yesu..........LOL