ujana una raha zake na majuto yake napenda watu kama wewe ukiamua kutulia hubabaiki na kitu ogopa anayeanza ujana na miaka 40 jua limekuchwa anajiona kijana hongera mreno wa mwananyamala
Usiombe uwe kwenye kilele cha ujiko, halafu mtu akushushe ghafla..............Utachanganyikiwa!Wacha tu mamaD, mie mwenyewe kicheko hakikauki kila nikivuta picha ya Gustavo wakati anadai wallet irudishwe...lol. Sipati picha jasho linamtiririka, mapigo ya moyo yameongeza kasi kwa uoga wa kuaibika, pombe yote kwishneh!
Heee heee heee,yani na wewe ndio unazidi kunivunja mbavu kabisaaaa,maana ile pozi ya kipedeshee ndio ikatoweka gafla na kubaki na sura ya mjamaa wa mwananyamala,hahaaaa haaaa!Wacha tu mamaD, mie mwenyewe kicheko hakikauki kila nikivuta picha ya Gustavo wakati anadai wallet irudishwe...lol.
Sipati picha jasho linamtiririka, mapigo ya moyo yameongeza kasi kwa uoga wa kuaibika, pombe yote kwishneh!
Hilo jina la Mreno wa Mwananyamala, silipendi kama nini, Hata hilo la Gustavo, maana nimeona wadau humu wameanza kunipachika majina hovyo, jamani patachimbika hapa.............................!
Tuto bem contigo sin'oritta Amigoc............................Helder postiga goncalves valera coentraoMimi naona Mreno liko powa zaidi hata Gustavo linakufit mkuu..
Unajua leo nimeamka vibaya kweli, kuna mambo yamenikera. Ila baada ya kufungua JF na kukutana na hii stori, nilicheka sana na kuirudia kuisoma. You really made my day Mtambuzi. Pia una mada nzuri sana, zilizosheheni mafunzo vilevile ucheshi wa hali ya juu.
Obrigado!!!
Ila hiyo Bar ipo Sinza na si Mwenge, Enhe Hadithi inatufundisha nini?
Hehehe! Wacha zivunjike MumyD, madaktari mgomo umeisha watafanya kazi ya kuziunga! Mtambuzi kapinda walah tena!Heee heee heee,yani na wewe ndio unazidi kunivunja mbavu kabisaaaa,maana ile pozi ya kipedeshee ndio ikatoweka gafla na kubaki na sura ya mjamaa wa mwananyamala,hahaaaa haaaa!
Hapo sasa, akiona tunavyosoma jf anadhani na vitabu pia tunasoma!Kaka nitunge vitabu, wasomaji wako wapi?