Changudoa wanaoleka jamani???

thread kama ina miender miendering haiko straight
 
Mshawishi jamaa yako akapime,wazungumze na binti kwa undani na wajadili historia,wakati wa sasa na wanakokwenda,wakikubaliana na wakaacha njia zao mbaya,ndoa itakuwa ya baraka.....machangudoa ni wale wafanyao wazi but ukitafsiri sana wengi wa wasichana wanaweza kuwa humo humo......na wakiamua kuoana,Mungu awatunze...AMEN
 
Kama huyo CD alikuwa anafanya hivyo kwa kukosa njia mbadala ya kipato akiolewa akawa na uhakika kupata mahitaji anaweza akatulia. Lakini kama uCD ni hulka yake weeee! Hataacha hata akizeeka.
 
hakuna jibu la moja kwa moja,
anaweza kuwa kabadilika tena awe mke wa kutolewa mfano pia anaweza kurudia maana wahenga wanasema jasiri haachi asili.
ila mpaka anataka kupima inaleta ishara nzuri.
Huyo rafiki yako inabidi aongee na Mungu kwa maombi ili ajulishwe kama hilo ni chaguo sahihimaana wenza wetu wa kudumu nao maishani huwa tunapewa na Mungu,hata kama ni changudoa kama alitolewa ubavuni mwako ndiye atakuwa mkeo na mtadumu na anaweza kubadilika.
 

Vipi Michelle( jinsi ya kutamka jina lako sijui, ivi ni kama vile wali bado haujapikwa) upo tayari kuolewa sasa au bado msimamo wako ni kama ulivyosema kwenye thread fulani kuwa hutaki ndoa, maana mimi kwa hiyo avatar kama inaelekeana na wewe ulivyo nipo tayari kukuona kwa upendo kabisa uwe mke wa pili, naamini utanifikiria na hili ombi limeshafika kwa Bi Mkubwa.
 
ulipotelea wapi wewe jamani??? au umeshikwa na siasa zenu/??:clap2::clap2:
 
Pdiddy, there is a silver lining here,jamaa kama kampata changu la ukweli linalojua kutoa mavituuz basi kwa upande huo atakuwa ameula,maana nothing beats experience.Raha iliyoje kumpata demu ambaye tayari ana ujuzi wa kutosha maana hapo huangaiki na mambo ya mara 'geuka hivi',oh mara 'nishike hivi' mara 'oh staki bwana mambo ya ulimi' na kazalika na kazalika.Raha ya mavituuz uzoefu au vipi?
 
Fedha na mali ni urithi ambao mtu aweza kupewa na baba yake, lakini Mke mwema hutoka kwa Bwana. Kwa wakati sahihi.

Haijalishi ni Changudua, Muuza Bar, Muuza mandazi, Mgonga Mawe, msomi, vyovyote vile, hayo yaweza kuwa mapito tu, na shule yake huyo mtu. Lakini wakati ukifika Mungu anambadilisha, anamtakasa, anamuumbia utu wema sawasawa na hitaji lako wewe muoaji.

Kama Mungu kamuandikia huyo ndo mke wake atakuwa.

Cha ajabu huoni huyo jamaa yako ndiyo anachekesha sasa, hataki kwenda kupima maanake nini. Kama nitakuwa nimeelewa vizuri kama huyo jamaa yako hataki kupima na anataka kumuoa huyo dada. Nikisema huyo sio mume mwema kwa huyo anaeitwa CD nadhani nitakuwa sijakosea.
 
Nimekumbuka ule usemi don't make a HOE A HOUSE WIFE
 
kama binti anataka wakapime na haogopi na jamaa yako anaogopa, sasa nani ni changudoa hapo?
 
amjuae mchawi...................... (malizia basi)

afe

naamtunzaye mchawi afe haya ni mandiko yawezekana bibako ni mchawi mkeo ni mchawi unangaika kila mwaka kumtunza na kusapoti uchawi wake nawe nakuahikikishia utakufa kila amlindaye mcchawi kifo kiko nyuma yake
 

lazima una matatizo yaani ujaelelewa alafu unamalizia na othrwize

glory to god
 
hao wote wamekutana changudoa na changudume (mtu na mteja wake) kama huyo ndg yako ni mmteja wa machangudoa na amefikia anataka kuacha na kuoa changudoa basi hata huyo changudoa nae anaweza kuacha ni makubaliano tu na kwa taarifa yako wengi wa machangudoa wanafanya vile kwa shida tu wanatamani sana kuolewa na kuishi maisha ya kawaida

ila huyo jamaa yako kitendo cha kuogopa kupima ni ujinga kwani kama virusi anavyo anavyo tu na kama hana hana upime usipme kama umeambukizwa ni umeambukizwa
 
kwan machangudoa si yo wanawake?
si machangudoa wote ni wabaya ..wengne wana roho na tabia nzur kushinda hata ao mliowaweka ndani
km umempendA MCHUKUE..MUULIZE ILIKUWAJE AKAINGIA UKO THEN MSHASURI UKIONA ANAELEKEA KUBADIRIKA NA KUKUELEWA BAS MUWEKE NDANI
HAKUNA WANAWAKE WAZUR KM AO WAKIAMUA KUCHANGE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…