Chanjo, Lockdown, Uchumi na Mitego ya Kiintelijensia: Tanzania ya 2022

Unajua sometyms nawaza watanzania hivi mnajikuta nyie kina nani kila janga mseme ni vita vya kiuchumi? Kwahyo nchi nyingine kama Italia waliozika maelfu ya watu wao hii vita hiawahusu..Kwa kipi hiko mnachowaogopesha hao wazungu?
 
Chanjo ni hiari ya lazima
🤣🤣
....ndio maana mimi muuza kahawa nimeling'amua hilo na kujiandaa KUCHANJWA....

Nitaendelea kuwapa elimu ya chanjo marafiki na wateja wangu !!

#NajiandaaKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 


Sijui kama umesoma kuelewa au ili umjibu mleta mada,tukiamua kwenda sawa na dunia ndo itatubidi wimbi linalokuja/litakalokuja na sisi tuende kama watakavyofanya wao lock down etc so ameshauri ni vyema tuchukue uelekeo wetu mapema ili ikifika tayari tuwe na options zetu za kufata.

Kwa kutumia diplomasia hizo hizo hao huko duniani watatumia diplomasia zao tena meza moja na Kikwete ili tuyumbe.
 
Sio Pope tena?
 
Jf hii, kila mtu anajitanabaisha yuko fit in mind, lakini kiukweli upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana na wengi wako biased kwa itikadi walizonazo,

Umemjibu vizuri sana lakini hatakuelewa kbs
 
Nimesoma hadi hapa, nikaona wewe ni tofauti kabisa na huyo unayempa ushauri. Umejaribu kulifikiri hilo?
Wewe una mizunguko mingi sana isiyokuwa ya lazima.

Ngoja nikatafute mengine uliyoeleza kuhusu kichwa cha mada yako, maanake bado sijayaona hadi hapa!
 
Hata ukitaka uwezo wa kuweka nchi lockdown hauna; tuongee vitu realistic..., hili li nchi likubwa sio kama Kenya, Rwanda wala Uganda...., pili nchi za magharibi waliweza kufanya hivyo ili kulinda taasisi zao zisizidiwe na wagonjwa kwa wakati mmoja wakati wanatafuta chanjo / mbadala.....

In short kwetu total lockdown is not an option (uwezo huo hatuna) hali ikiwa mbaya watu kuanguka barabarani wala hautahitaji kuwaambia watu wala kuwakumbusha nature will take its cause na watu wenyewe kuji-conform... ila hatuombei tufike huko na kutokufika huko ni kuzingatia ushauri wa watu wenye taaluma zao (sio kwamba wana akili kuliko sisi.... HAPANA..., bali ndio kazi zao wanazofanya usiku na mchana) so they know better....
 
Nimemaliza kuisoma habari yote.
Hitimisho langu ni kwamba wewe ni mtu wa 'drama' nyingi. A lot of hot air where there is no fire!

Kichwa cha mada umekifanya kuwa kizito kwelikweli, lakini yaliyomo ndani ya mada yenyewe ni nadharia za kufikirika (conspiracy theories) zisizokuwa na uhalisia wowotUtaona kama nakandamiza maoni yako bila ya kutoa maelezo mahsusi juu yake.
Ninaweza kuchambua hatua kwa hatua udhaifu wa haya uliyoweka hapa kukuonyesha kwamba hujaitendea haki mada yako, lakini hasa muhimu zaidi ni mwendelezo wa kuwapotosha waTanzania kuhusu ugonjwa huu.

Sijui mnafaidika vipi kwa upotoshaji wa aina hii mnaoufanya hapa!
 
"....na kutokufika huko ni kuzingatia ushauri wa watu wenye taaluma zao,..., ndio kazi zao wanazofanya usiku na mchana, so they know better..."
A very pertinent statement indeed!

Mambo yalianza kuharibikia hapo, wataalam walipowekwa pembeni na maswala ya COVID-19 yakawa ya watawala kuamua juu ya jambo wasilokuwa na ufahamu nalo.
 
Ok kama nimekuelewa umesema tuache ubishi na wenye nguvu tutaumia. Tufunike kombe wanaharamu wapite au siyo? Naona hiyo magufuli aliifanya vizuri na bila shaka angekua hai angetelezateleza kwa hao vigogo hadi tupite salama. Mama naona anaingia mtegoni kichwakichwa huenda uchumi ukaharibika.
 
Mmojawapo wa vilaza waliolijaza taifa letu.
 
Hakuna maandalizi wala training yoyote, magonjwa ya milipuko yamekuwepo duniani tangu ulimwengu umekuwepo.Nenda kachanjwe akili zikukake vizuri.
Ni maandalizi tu mtumishi Ila bado sana kumbuka haya yatatokea wakati kanisa limeshanyakuliwa Cha msingi wamchao Bwana wajiandae, Ila kuhusu sita sita sita bado Ila hii Ni training tu
 
Tunaendeleza legasi ya Mwendazake
 
Takataka tu. Umeandika,
 
Does the race for vaccine development make sense? What are the chances of success? Will the vaccine be safe? Will people accept it??
In June 2020, Corona, False Alarm? exploded into the German market, selling 200,000 copies and 75,000 e-books in the first six weeks.
No other topic dominates our attention as much as coronavirus and COVID-19, the infectious disease it triggers. There’s been a global deluge of contradictory opinions, fake news, and politically controlled information. Differing views on the dangers posed by the pandemic have led to deep division and confusion, within governments, society, and even among friends and family.
In Corona, False Alarm?, award-winning researchers Dr. Sucharit Bhakdi and Dr. Karina Reiss give clarity to these confusing and stressful times. They offer analysis of whether radical protective measures—including lockdown, social distancing, and mandatory masking—have been justified, and what the ramifications have been for society, the economy, and public health. Dr. Bhakdi and Dr. Reiss provide dates, facts, and background information, including:

How Covid-19 compares with previous coronaviruses and the flu virus

What infection numbers and the death rate really tell us

The challenges around lockdown: Were the protective measures justified?

Mandatory mask-wearing: Does the science support it?

Vaccines: What are the chances of success? What are the risks?

Corona, False Alarm? provides you with sound information and substantiated facts—and encourages you to form your own opinion on the corona crisis.
 
Chanjo itaondoa kinga asili tuliyokuwa nayo.Tutegemee watu wengi kuugua.Kifuatacho ITV ni lockdown tu.
 
Rafiki zangu.Niko madhabahuni kwa YAHWEH hapa.

Nawaambia ukweli..Kiongozi yoyote dhalimu atakayekubali mikakati ya shetani kuiingiza katika taifa hili HATADUMU.

Yeye na timu yake yote WATANYAUKA ghafla kabla hawajafika hatua yoyote destructive kwa taifa letu.

Taifa hili halitatulia mikononi mwa shetani yoyote yule.Litakuwa kama mlenda kila wakitaka kulikamata linawateleza.Na wasipoangalia watapigwa hadi huko walikotoka ili wasipate mda wa kuhangaika na mataifa ya wenzao.

Wakiendelea na ushetani jiandaeni kushuhudia anguko lao wakuu wa dunia hii haijalishi ni ngumu kiasi gani kuamini kuwa wataanguka.

These are times to talk naked truth while looking straight to their evil eyes.
Mark my words all of you!
 
MATUMIZI MABAYA YA MAANDIKO MATAKATIFU! WATU WANAENDA VYUONI MIAKA KIBAO KUSOMA BIBLE NA THEOLOGY. MSIKARIRISHWE UJINGA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…