Chanjo, Lockdown, Uchumi na Mitego ya Kiintelijensia: Tanzania ya 2022

Chanjo, Lockdown, Uchumi na Mitego ya Kiintelijensia: Tanzania ya 2022

Bandiko zuri sana. Ila limejaa hofu sana, hasa kuhusu Lockdown! Nikutoe tu hofu;

1. Lockdown, haitowekwa Tanzania. Kwanza, Dunia hadi kufikia Nov 2021 itakuwa imechanja kwa kiwango kikubwa so hakutakuwa na haja ya Lockdown tena (angalia nchi kama Uingereza kwa sasa wamelegeza masharti mengi sababu ya Lockdown). Pili, dunia imechoka na Covid. Watu sasa wameamua kuishi na ugonjwa huu huku maisha yakiendelea. Hivyo kama ni suala la influence ya dunia, basi haitotokea. Tatu, watanzania hawatokubali kufungiwa ndani. Kama kuna siku serikali itataka kuona hasira za watanzania bas iwafungie ndani-NJAA HAKUNA WA KUIVUMILIA na Pili serikali yenyewe haiwezi kubali sababu moja haiwezi hudumia wananchi wakiwa lockdown na pili inajua hiyo itakuwa ni mauji kwa uchumi wake.

2. Tanzania imekubali Chanjo, sio kwamba eti watanzania wengi wanataka. Bali kuweka mahusiano ya kimataifa katika hali nzuri. Suala la Covid19 limetumika sana kwenye Siasa za kimataifa. Mataifa makubwa yako mstari wa mbele kuzihudumia nchi kwenye Chanjo ili kuendeleza ushawishi. Ndio maana unaona China anapambana na US naye anapambana. Mama anajua haya mambo ya mahusiano ya kimataifa yakoje (ni mtu wa AZAKI). Ndio maana unaona Chanjo tumepokea toka Marekani, na kule Zanzibar wamepokea toka China.

So, usiwe na hofu kuhusu Tanzania, hakuna Lockdown.
 
Back
Top Bottom