Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha unawapa chanjo kwa kuzingatia muda pili hakikisha kuku wako hawachanganyiki na kuku wa mtaani tatu hakikisha usafi wa banda
Nakazia hapaHakikisha unawapa chanjo kwa kuzingatia muda pili hakikisha kuku wako hawachanganyiki na kuku wa mtaani tatu hakikisha usafi wa banda
Chanzo ya sawa inaitwaje?Nakazia hapa
Chanjo hiyo inaitwaje,?Zingatia usafi wa banda unaweza ukawa unasafisha kila wiki, pia chanjo za kuku ni muhimu kuwapa kwa wakati
Zingatia chanjo.....hivyo vidonda n ndui, wakat mwingine unaweza weka taratibu maalumu ya chanjo. Siku ya 21,35 au 42 ( kulingana na msimu wa mwaka unakofugia ) waweza chanja ndui. Ziada utauliza tutajibuNaomba mnijuze jinsi ya kuzuia magonjwa ya vifaranga wa kuku wa kienyeji maana kila nikifuga vifaranga wanapata vidonda kuzunguka macho na vinakufa