Chanjo na dawa za kuzuia vifo vya vifaranga wa kuku wa kienyeji

Chanjo na dawa za kuzuia vifo vya vifaranga wa kuku wa kienyeji

usiwaruhusu kutembea ovyo na pia usiku hakikisha unawawekea jiko la moto au taa yenye mwanga na joto
 
Inaelekea sehemu wanayolala/kuishi pia sio safi. Kuku, uchafu na unyevunyevu mbali kabisa. Chunguza kama kuna utitiri. Mazingira yakiwa safi na hewa safi na kukavu hawahitaji madawa. Waone wataalam wa mifugo wakushauri.
 
Naomba mnijuze jinsi ya kuzuia magonjwa ya vifaranga wa kuku wa kienyeji maana kila nikifuga vifaranga wanapata vidonda kuzunguka macho na vinakufa
Zingatia chanjo.....hivyo vidonda n ndui, wakat mwingine unaweza weka taratibu maalumu ya chanjo. Siku ya 21,35 au 42 ( kulingana na msimu wa mwaka unakofugia ) waweza chanja ndui. Ziada utauliza tutajibu
 
Back
Top Bottom