Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya maradhi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.