Pyredbello
Member
- Feb 25, 2018
- 54
- 35
Daah [emoji23] hii nchi ngumu sanaChanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.
Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.
Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.
Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.
Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.