#COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

Chanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.

Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.

Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.

Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.

Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Daah [emoji23] hii nchi ngumu sana
 
Utafiti wako umeufanyia wapi , na je umeangazia chanjo gani nyingine zaidi ya corona, zile chanjo za utotoni ni sehemu ya utafiti wako ama?
Nilichogundua Watu wengi wanaongea vitu kwa mihemko na kutokuwa na elimu juu ya kile wanachokiongea
 
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Maswali yako yanaonesha wewe ni mjinga kabisa kuhusiana na masuala ya chanjo. Huelewi hata namna chanjo inavyofanya kazi.
 
Chanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.

Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.

Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.

Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.

Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Usilazimoshe watu wakuamini wakati unaongea upuuzi. Kama una uhakika, weka uthibirltisho.
 
Lakini ni kundi muhimu sana katika jamii yetu-walitusaidia kutuondolea mwendazake kwa COVID kwa ushauri wao mwanana-Tuwatambue jaman [emoji1787] [emoji1787]
Ushadungwa machanjo au umejificha uvunguni unavizia kuona nini kitatokea?

Hayo machanjo ni SUMU TUPU. We hushangai kwanini watu wameyasusa yamebaki kudoda huko stoo!

Yes, call me stupid and uneducated, but the people know what is good for them, and they have decided and WE ALL SEE IT.

Zile enzi za kuwadunga watu masumu huku mnapiga deals na mabeberu zimekwisha.

Udadali wa machanjo umebuma. FANYA KAZIIII
 
Kwenye suala la Corona nipo na Magufuli mia kwa mia, kwanza mwamba alitujaza upepo hadi tukaona Corona ni mafua kama mafua mengine...lakini tunajazana hofu tu ujinga mtupu.
 
Usilazimoshe watu wakuamini wakati unaongea upuuzi. Kama una uhakika, weka uthibirltisho.
We kadungwe michanjo hiyo hakuna anayekuzuia. Lakini wananchi ambao ni wengi zaidi wameyasusa hayo matakataka.

Habari za kupiga deals na mabeberu zimefika mwisho. Mkatafute kazi zingine za kufanya.
 
Acha urongo ndugu,

Tulidungwa chanjo za TB na hatupati TB tena.

Surua, polia na pepopunda, zote hizo zina chanjo yake ambayo ni 100 perfect efficient. Ukidungwa hauugui tena.

Lakini haya matakataka ya covid sio chanjo ni usanii wenye malengo tofauti na tunayoambiwa
BCG ina 44% efficacy peke yake. Kasome tena
 
We kadungwe michanjo hiyo hakuna anayekuzuia. Lakini wananchi ambao ni wengi zaidi wameyasusa hayo matakataka.

Habari za kupiga deals na mabeberu zimefika mwisho. Mkatafute kazi zingine za kufanya.
Kweli ujinga ni ghali. Eti sasa wananchi wa kawaida wana elimu ya kujua kilichomo kwenye chanjo kuliko wasomi. Yale yale ya kutotaka maprofesa na kuwataka akina Musukuma/Msukuma. Nchi imerudi 1950
 
bado kuna watu wanaandika upumbavu wa hivi?
 
Eti sasa wananchi wa kawaida wana elimu ya kujua kilichomo kwenye chanjo kuliko wasomi.
Kama kweli ungekuwa una "akili za kisomi" ungetengeneza chanjo yako.

Huna akili wala usomi wowote. Wewe ni ngumbaru tu kama ngumbaru wengine wasioijua shule.

Unasubiri wengine watengeneze chanjo halafu udandie treni kwa mbele ujipachike utaalamu wa corona.

HUNA ULIJUALO WEWE, KAA HAPO UDUNGWE MACHANJO HAYO UWE ZOMBI.
 
Eti sasa wananchi wa kawaida wana elimu ya kujua kilichomo kwenye chanjo kuliko wasomi.
Halafu pia acha ushamba wa kujiita "msomi".

Siku hizi watu wameelimika kuliko unavyofikiri. Ukiwapa matango pori wanayasusa.

Lazima ufanye la ziada kuonyesha usomi wako. Lakini kwa haya mambo ya kudandia machanjo ya mabeberu utasubiri sana.

Yaani umekaa kitako hufanyi lolote, unasubiri wazungu watengeneze machanjo halafu unakuja unadandia treni kwa mbele unataka tukuite MSOMI?

Huwezi kupewa ujiko kirahisi rahisi hivyo kwa kudandia dandia tu hovyo machanjo ya mabeberu!
 
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.

Kila siku wataalam wanatolea ufafanuzi hayo maswali yako yasiyo na kichwa wala miguu lakini bado hamuelewi ,kweli wajinga hawaishi na hawatoisha.
 
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.

Tumkumbuke kiongozi jizi la kura kwa kipi? Hizi chanjo ni hiyari, kama unataka kumkumbuka mkumbuke kimpango wako.
 
Watanzania wenzangu twendeni tukachanjwe j&j nisalama kabsa
 
Tumkumbuke kiongozi jizi la kura kwa kipi? Hizi chanjo ni hiyari, kama unataka kumkumbuka mkumbuke kimpango wako.
Najua una chuki na hayati.Hona hoja we jamaa. JPM hayupo umepata ahueni gani ya kisiasa?
 
Back
Top Bottom