Chanjo: Utamaduni wa uongo wa serikali umetufikisha hapa

Chanjo: Utamaduni wa uongo wa serikali umetufikisha hapa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri.

Haya ndiyo mambo yanayorudisha nyuma mapambano ya huu ugojwa. Huu ni ushauri tangazeni vifo vyote waziwazi na wagojwa waziwazi ndiyo hili swala litafanikiwa, nashukuru wazazi wangu hawakuwasikiliza hawa wachungaji matapeli na wakaenda kuchanja.
 
Mie nimechanja,,lakini chama chnagu kama chadema katika kuenzi maono ya kamanda mbowe juu ya kuchanja..ilitakiwa wanachama na wapenzi waote tukavamie kuchanjwa nchi zima kli dozi ziishe maramoja ili tujiokoe kama wanachama na tuyaachie maccm yakifa..bahati mbaya hata wanachamana wa viongozi wa ccm wanashindwa kuhamasisha wanachadrma kwenda kuchanja..maana yake wanakubalina na magufuri juu ya mtizamo wa chanjo..Huu ni upuuzi kwa chama kama chadema
 
Wakianza kutoa takwimu za vifo vya corona wakumbuke na kutoa takwimu za watu waliopata madhara ya chanjo za corona,maana mpaka sasa hakuna hata kisa kimoja kilichotangazwa cha mtu aliyepata madhara ya chanjo wakati kiuhalisia kuna watu wameparalyzed na wengine waliganda damu na kufariki. Ukweli usemwe kotekote.
 
Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri.

Haya ndiyo mambo yanayorudisha nyuma mapambano ya huu ugojwa. Huu ni ushauri tangazeni vifo vyote waziwazi na wagojwa waziwazi ndiyo hili swala litafanikiwa, nashukuru wazazi wangu hawakuwasikiliza hawa wachungaji matapeli na wakaenda kuchanja.
Mkuu wewe umechanja au hujafikia 18+?
 
Back
Top Bottom