#COVID19 Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

kweli kabisa shida ipo hata haihitaji akil kabisa kuwatambua na kuwaamini hawa viongozi wa afya wote walio wahi kua na mlengo ule bas wakae pembeni waje uwapya hapo kidogo tunaweza waamini wanasema wanasiasa sio wa kuwaamini lakin hapa naona sio siasa ni taaluma nimr na wizara ziwe mpya watakua na ajenda kwa wnanchi hivi hivi wataendelea kumsafishia gwajima na kumuongezea waumin
 
y
Sawa, mwambie Bashite kazi yake tayari umefanya.
yule angeweza hata ww ungeenda kuchoma mbona uliwah kwenda pale lidaz kumsikiliza namna ya kupata ajira
 
Haaa
Wameshachelewa sana. Pale pale Rais Samia alipokuwa anachagua baraza la mawaziri alitakiwa usiwaweke .
Ukiwaondoa sasa hivi mashaka ni makubwa
 
Haaa
Wameshachelewa sana. Pale pale Rais Samia alipokuwa anachagua baraza la mawaziri alitakiwa usiwaweke .
Ukiwaondoa sasa hivi mashaka ni makubwa
ni bora hayo mashaka yawepo lakin si kwa ambacho kinaendelea sasa
 
Kwa kweli muitikio ni mdogo sana!

Tuliambiwa zililetwa chanjo milioni moja na ushee hivi.

Lakini bado mpaka hivi sasa unaweza kwenda kwenye moja ya vituo vinavyotoa chanjo bila hata kuweka miadi na ukachanjwa!
Sababu ziko wazi na zimeelezewa na askofu Gwajima leo,
 
Mkuu wa mkoa ni failure tu hana influence yoyote mjini hapa ndo mana hata matamko yake watu hawachukulii serious wala nini yupo yupo tu.
 
Mkuu wa mkoa ni failure tu hana influence yoyote mjini hapa ndo mana hata matamko yake watu hawachukulii serious wala nini yupo yupo tu.

Mnataka afanyeje?

Mmezoea show off na video cameras [emoji327] hekaheka mtoni ndipo mkubali kuwa anafanya kazi ?

Management styles zipo nyingi tofauti tofauti!
 
Naomba nikuulize za, side effects za hiyo chanjo baada ya miaka mi5 ni zipi?
 
Ataanzia wapi ,hata yeye alikuwa na msimamo huo...mbona tunakuwa wepesi kisahau...Huo ulikuwa no msimamo ww Serikali ...Hakuna Waziri aliyekuwa na ubavu wa kumpinga Jiwe...mmekumbuka yaliyompata Ndugulile?!
Tusiwaonee Molel na Gwajima!
 
Mnataka afanyeje?

Mmezoea show off na video cameras [emoji327] hekaheka mtoni ndipo mkubali kuwa anafanya kazi ?

Management styles zipo nyingi tofauti tofauti!
fuatilia page za rafiki zake uko insta kwa page ya kingi wa mitandao ya kijamii kila siku ana habari lakin bado kua udambwi anaukosa habar zinaishi kwa marafiki zake
 
Ataanzia wapi ,hata yeye alikuwa na msimamo huo...mbona tunakuwa wepesi kisahau...Huo ulikuwa no msimamo ww Serikali ...Hakuna Waziri aliyekuwa na ubavu wa kumpinga Jiwe...mmekumbuka yaliyompata Ndugulile?!
Tusiwaonee Molel na Gwajima!
hawa viongozi ndio walipaswa wabakie na msima ule ili mama aone hana umuhimu wa kwenda na wangine ambao wangekua na sababu za msingi juu ya huu ugonjwa
mpaka sasa hakuna anae waamini
 
Ndugu yangu nakushauri kama upo above 40yrs old nenda kachanje hata kama upo strong kiasi gani nenda kachanje huu Ugonjwa hauwezi kwesha leo wala kesho.
 
Kuchanjwa no hiyari. Uliowaona ndio wametaka kuchanjwa ambao hujawaona hapo hawataki so usishangae sasa.
 
Huyu Makaalla na kisauti chake hana ushawishi wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…