#COVID19 Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

Watu ambao wamegoma kuepuka mikusanyiko,kuvaa barakoa,kunawa mikono,wamehomea level seat halafu watu hao hao wasipoenda kuchanjwa et lawama anapewa Gwajima! kuna vitu vinafurahisha.
 
Ulitegemea waseme muitikio ulikuwa mdogo?
Ni kweli muitikio ulikuwa mdogo sana, Sasa imebidi waongeze na siku ya kesho.
Wakati sababu ya kuweka leo ilikuwa kutokana na watu kukosa muda siku za kazi
Shida wananzengo wana IQ ndogo. Ni kwenda nao taratibu kuendana na IQ zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mjue watz wa leo sio wasenge kama wa kipindi kile
 
Ukimwi tunapishana nao mataani kila uchwalo na bado watu wanakunjana bila kondomu, iwe korona tena kwa kulazimisha wakati ni hiari??....Thubutu!.
 
Wazazi wangu washastaafu Dr na nurse,na wana hospital yao kwa sasa mkoani huko!mama alishaumwa last yr na alipona tunamshukuru Mungu! lakini wametuambia tusichanje na wao hawachanji! Na sbb za kitaalamu nimepewa,sa Dorothy aniambie nichanje?bila sbb za kujitosheleza, [emoji16]masihara.
#mi na familia yangu pamoja na huo umri tulionao hatuchanji na tuko salama,Mungu aliyetuvusha awamu ya 1,ya 2 ndo atatuvusha na awamu hii!

So kigezo cha umri bado sio ishu kabisa!
watajua hawajui round hii wawaonee watu kwenye hizo tozo tozo zao kijinga na si uhai wa binadamu
 
Mnataka afanyeje?

Mmezoea show off na video cameras [emoji327] hekaheka mtoni ndipo mkubali kuwa anafanya kazi ?

Management styles zipo nyingi tofauti tofauti!
Sio kuzoea camera unaweza kuniambia kwanini tamko la watu kuvaa barakoa na kupanda daladala level seat halifanyiwi kazi?? Mbona nyuma iliwezekana why watu wamekaidi now hawafanyi hivyo na yupo tu hachukui hatua zozote unasema tunataka afanyaje?? Btw hata yeye ni mtu wa camera tunamuona kila siku.
 
Unazani ni hatua gani kwa mfano anazopaswa kuchukua?
 
hii hali ikiendelea na huu mkanganyiko watuchanje tusichanje basi wananchi hawatajitokeza kabisa kuchanja.

Mkuu wa mkoa kafeli mno katika kuhamasisha wanadsm wajitokeze ilitakiwa leo ndio iwe slama kwa taifa kua dsm watu wamejitokeza wengi
Mkoa wa Darisalaama aliuweza Makonda pekee, naamini angekuwa Makonda watu wangejaa uwanjani na kuchanjwa wote, huyu wa sasa anaishia kuongea tu kwenye runinga lakini ufuatiliaji na utekelezaji ni sifuri, mfano anagalia uvaaji wa barakoa kwenye vyombo vtya usafiri wa umma jijini
 
Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine.

Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19 katika uwanja wa taifa wa Uhuru, mimi nimekwenda na nimechanjwa hali nilioiona kwa leo hapana muitikio ni mdogo mno kuna sababu za msingi za kulipa nguvu jambo hili.

Mosi ni kwa wale waliokuwa viongozi wa awamu ya tano katika Wizara ya Afya wajipime,sio mpaka mama awabadilishie majukumu mengine.

Inawapa sana ugumu watanzania" jana waambiwe hivi na leo waambiwe hivi"(kiongozi anasema jana chanjo sio salama leo anasema chanjo ni salama).

Shaka kubwa sana imejengeka hapo kwa wananchi Rai yangu wapatikane viongozi wapya katika wizara hii kutuhamasisha juu ya uchanjwaji huu vinginevyo naona kabisa serikal inaenda kufeli katika jambo hili.

Sio mbaya kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akimuona RC mstaafu aliyegombea kule Mbutu ampe namna ya kuhamasisha watu anapokuwa na jambo lake kwa wananchi wa DSM, naona habari za ofisi yake zinaishia Bungoni tu sio Dar es Salaam yote.

Muwe na Jumapili njema, korona ipo.
Mkuu wewe umechanjwa tulia. Watu wagumu kuelewa
 
Nadhani wametumia hiyari liyotolewa kutokwenda na walioenda wako sahihi pia.
 
Kwa kweli muitikio ni mdogo sana!

Tuliambiwa zililetwa chanjo milioni moja na ushee hivi.

Lakini bado mpaka hivi sasa unaweza kwenda kwenye moja ya vituo vinavyotoa chanjo bila hata kuweka miadi na ukachanjwa!
So far mpaka last week ilikuwa laki mbili tuu waliochanjwa out of dozi milioni moja.
 
Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine.

Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19 katika uwanja wa taifa wa Uhuru, mimi nimekwenda na nimechanjwa hali nilioiona kwa leo hapana muitikio ni mdogo mno kuna sababu za msingi za kulipa nguvu jambo hili.

Mosi ni kwa wale waliokuwa viongozi wa awamu ya tano katika Wizara ya Afya wajipime,sio mpaka mama awabadilishie majukumu mengine.

Inawapa sana ugumu watanzania" jana waambiwe hivi na leo waambiwe hivi"(kiongozi anasema jana chanjo sio salama leo anasema chanjo ni salama).

Shaka kubwa sana imejengeka hapo kwa wananchi Rai yangu wapatikane viongozi wapya katika wizara hii kutuhamasisha juu ya uchanjwaji huu vinginevyo naona kabisa serikal inaenda kufeli katika jambo hili.

Sio mbaya kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akimuona RC mstaafu aliyegombea kule Mbutu ampe namna ya kuhamasisha watu anapokuwa na jambo lake kwa wananchi wa DSM, naona habari za ofisi yake zinaishia Bungoni tu sio Dar es Salaam yote.

Muwe na Jumapili njema, korona ipo.
Kama viongozi wa awamu ya tano watoke basi hata mama ajiuzulu tu. Naye amegeuka ghafla apate mpunga wa corona kwani nani hajui.
 
hii hali ikiendelea na huu mkanganyiko watuchanje tusichanje basi wananchi hawatajitokeza kabisa kuchanja.

Mkuu wa mkoa kafeli mno katika kuhamasisha wanadsm wajitokeze ilitakiwa leo ndio iwe slama kwa taifa kua dsm watu wamejitokeza wengi
Siwezi kumlaumu RC Makalla kwa sababu ukiangalia maoni ya Watanzania wengi kupitia mitandao ya jamii yote ukweli ni kwamba wasio taka chanjo is almost 80 % or more... Pia angalia jinsi wanavyojazana kwenye mambo yasiyo ya msingi kama matamasha, mikutano, mipira etc. Tuombe Mungu tuu like wimbi kali lisijekupiga tena itakuwa balaa..
 
Kwani chanjo si imesemwa kuwa ya hiyari?

Sasa kama wengi wameamua kwa hiyari yao kutochanjwa mnashangazwa na nini ?
Pale hali itakapo kuwa mbaya na mahospitalini kujaa watu na mitungi ya oxygen kuwa haitoshi mtaanza tena kumlaumu serikali...
 
Back
Top Bottom