#COVID19 Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

Umeyarudia ya Gwajima au wewe ndio Gwajiboy.
Wakibadiliswa ndio kutakua na mafuriko?
 
Kila mtu na uamuzi wake tusilazimishane kufanya unachotaka wewe. Wewe umechanjwa kaa kimya na uamzi wako.
 
Chanjo ni hiari. Watanzania wengi wanafuatilia habari za kwenye mitandao kuliko -vyombo vya habari sahihi ( main stream media)kama vile ITV, TBC na vinginevyo. Nchi zilizo endelea kama Marekani - mwitikio bado ni shida (mdogo) , sasa huwezi kushangaa mwitikio wa hapa Tanzania ambapo wananchi wengi wanaamini tiba asilia na wengine wameamua kumuachia Mungu- na liwalo na liwe. Mwitikio mdogo si tatizo la wizara ya afya wala viongozi waliopo. Hayo ni maamuzi ya wananchi wenyewe, wanataka walazimishwe, hawajazoea kujiamulia wenyewe- wamepewa uhuru wa kuchanja au kutokuchanja, sasa kwanini tunaona ni tatizo wakati wao wameamua kutochanja.
 
tukisema liwalo na liwe huoni kua ni shida .
Serikal baadae itakuja kulaumiwa kwa kutoweka mkazo katika chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…