OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
- Thread starter
- #21
Kuepuka hasara, hii inaweza kufanya kazi,Hatutaki serikali iagize waachie hilo jukumu hospitali binafsi ndio waagize anayetaka chanjo aende huko na waanze wanasiasa kwanza na wanaotaka kwa hiari yao.
Wahudumu wa afya wasichanjwe wapewe tu vifaa vya kujikinga wanapohudumia wagonjwa wa korona.
Majeshini marufuku hii chanjo iko kwenye majaribio jeshini sio sehemu ya kujaribia dawa
Hofu ni ileile tu kwamba kama hospitali binafsi zitaagiza mara ya kwanza zikaexpire bila kutumika, mara ya pili na ya tatu watakuwa wameingia hasara pia
Serikali iagize kutokana na order iliyopo, i.e mahujaji wangapi wanataka, watu wangapi wanataka kusafiri kwenda nchi ambazo hauingii bila chanjo, then wazilete kwa namba hiyo ili kuwa optimum