Chanjo ya Corona ikitolewa kwa hiyari, tutakula hasara

Kuepuka hasara, hii inaweza kufanya kazi,

Hofu ni ileile tu kwamba kama hospitali binafsi zitaagiza mara ya kwanza zikaexpire bila kutumika, mara ya pili na ya tatu watakuwa wameingia hasara pia

Serikali iagize kutokana na order iliyopo, i.e mahujaji wangapi wanataka, watu wangapi wanataka kusafiri kwenda nchi ambazo hauingii bila chanjo, then wazilete kwa namba hiyo ili kuwa optimum
 
Our Fathers fought tooth and nail, scrimmaging in caves and forests, dodging bullets, kicking ass and eventually came out victorious, giving our African continent Independence. Fast forward to 2021you guys are "surrendering/selling our liberties over a flue???? SHAME ON YOU!!!!
 
Kasome sheria ya chanjo ndugu
 

Kwa nini msisajiri kwanza wanaotaka kuchwanjwa kisha muweke oda kulinga na mahitaji? Hakuna kuchanja mtu kwa lazima hapa!
 
umenichekesha hiyo WANAJESHI WA 5
nimemkumbuka B mkubwa
yeye kasema labda lije GREDA pamoja FIDIFOSI
 
Hili swala mnalikuza tyu. Ila lilisha isha mapema sna. Tunaagiza chanjo chache tyu kwa watu wanao taka. Maisha yanaendelea. Cha muhimu kwetu ni kuwajali wahududmu wa afya, Ventilators kwa abaadhi ya watanzania wachache ambao watapata magonjwa ya upumuaji. pamoja na kuboresha tafiti zetu juu ya ugonjwa huu(Mind you no body knows exactly source ya huu ugonjwa inaeza ikawa kweli dunia nzima inacheza ngoma ya kikundi fulani cha watu)

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Si ilisemekana raia wanataka chanjo! Imekuwaje tena kusema kwamba hawatochanja Ikiwa hiari? 🤔
 
umenichekesha hiyo WANAJESHI WA 5
nimemkumbuka B mkubwa
yeye kasema labda lije GREDA pamoja FIDIFOSI
yupo sahihi B mkubwa kiukweli huu ugonjwa ungekuwepo kweli kama wanavyosema mi usingenikosa tena ningeupata mara nyingi sana kutokana na kazi ninayofanya,ukiangalia jinsi unavyotangazwa kwenye taarifa za habari na hali ilivyo mtaani ni vitu viwili tofauti sioni sababu ya mimi kupata chanjo ya dharula ambayo haijakidhi vigezo vya chanjo inavyopaswa kuwa mpk kuidhinishwa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…