#COVID19 Chanjo ya Corona imetengenezwa kwa vitu gani?

JU60_tz

New Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2
Reaction score
3
Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!?

Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu vitu hivyo? kama ndiyo kwanini wasimwambie MAMA ili tuvipate tuweze kutengeneza chanjo yetu wenyewe pasipo kungoja msaada!?

Kama sisi (Tanzania) hatuwezi kuitengeneza (kutokana na gharama za uzalishaji) kwanini tusiwaombe WHO kusaidia katika kutuwezesha kuzalisha chanjo kwa kutumia teknolojia hiyo ambayo tayari imeshafahamika!?

Vipi kama EAC na SADC zikiungana na kwa kushirikiana na huyo WHO kikawekwa kuwanda cha kutengeneza chanjo hiyo na kuisambaza kwenye nchi husika!?
 
Hivi kuna kiwanda hapa hata cha kutengeneza sindano ya kushonea tu?

Mbona kuiga k*nya kwa tembo?

😂😂😂😂😂

Utasalimika kweli?
 
Du nikifikiria technology inayotumika kutengeneza drips tu inavyotupa shida mpk tunaagiza nje sipati picha technology ya Molecular biology tutaitolea wapi na sisi tuzalishe chanjo
 
Hivi drip si ni maji tu?? Au kuna dawa huwa wanachanganyia??
 
Chanjo ya corona imetengenezwa kwa tech. tofauti tofauti. Kuna ile ya kutumia Messenger RNA, vector Virus, n.k
 
Siyo chanjo ya corona tu, pia madawa kama arv...ina maana hatuna wakemia huku africa wanaoweza kukopi na kupesti hizo dawa...au kuna siri gani kwenye utengenezaji wa haya madawa?
 
Hivi drip si ni maji tu?? Au kuna dawa huwa wanachanganyia??
Chukua maji Jidunge ktk mshipa uone jibu lake ndo utajua drip ni maji au si maji ,ni maji yaliotolewa kemikali zoTe na kubaki empty na kuongezwa glucose
 
Tetesi Baadhi Ya Wanaume Waliochanja Mmoja Kanidokeza Kuwa Anajihisi Kama Mjamzito. Johnson And Johnson 😂😃🤣😂😁
 
nchi imeshindwa tu kuyengeneza Alu ndio ianze na chanjo?
 
Tangu lini ng'ombe akauliza haya majani yana virutubisho gani?

Sio vizuri kuhoji juu ya vitu vya kuletewaletewa
 
Chukua maji Jidunge ktk mshipa uone jibu lake ndo utajua drip ni maji au si maji ,ni maji yaliotolewa kemikali zoTe na kubaki empty na kuongezwa glucose
basi ni rahisi sana kutengeneza drip.
 
Kwani ni lini tutaanza kutengeneza chanjo za ndui & surua
 
Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!?

Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu vitu hivyo? kama ndiyo kwanini wasimwambie MAMA ili tuvipate tuweze kutengeneza chanjo yetu wenyewe pasipo kungoja msaada!?

Kama sisi (Tanzania) hatuwezi kuitengeneza (kutokana na gharama za uzalishaji) kwanini tusiwaombe WHO kusaidia katika kutuwezesha kuzalisha chanjo kwa kutumia teknolojia hiyo ambayo tayari imeshafahamika!?

Vipi kama EAC na SADC zikiungana na kwa kushirikiana na huyo WHO kikawekwa kuwanda cha kutengeneza chanjo hiyo na kuisambaza kwenye nchi husika!?

Chemistry yake utaiweza?
 
Chemistry yake utaiweza?

IMG_0400.png
 
Mwaka huu mpaka upinduke tutaona mengi sana wakuu, yaani ni balaa kwa ufupi
 
Back
Top Bottom