wakuu habari za majukumu....CHANJO ya vivid 19 INAKUJA mda sio mrefu na wazungu wanasema utafanyiwa majaribio Africa .Kuna hawa jamaa wanaoongoza Kwa kizungu Africa wanaitwa Kenya huwa mbio mbio Sana kuwapigia magoti mabeberu.Niwape tahadhari Tu kwamba hili swala litawamaliza kama nzige walivomaliza mazao yenu mashambani.Mataifa mengine yameonyesha msimamo kwamba tayari hawako tayari lakini hawa jamaa nawaonea huruma Sana.Polisi wamediriki kupiga raia Hadi kuuwa kijana mdogo Kwa risasi na wengine wamejeruhiwa vibaya sembuse CHANJO? Naamini watalazimishwa kuchanjwa ili mradi Tu imetoka Kwa Bill gate.
Hebu tubaki na uafrica wetu....Mungu si mjinga atuumbe waafrica na akatuweka katika ardhi hii.Huko Kwa wazungu ni maiti Hadi mlangoni na wameshindwa hata namna ya kuzika.
Ushauri wangu ni kwamba....Msizuie watu kumtafuta Mungu, Mungu ndio kimbilio.... wazungu walishamsahau Mungu japo injili imetokea kwao na leo hawana ujanja.Kazi kwenu.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app