Chanjo ya COVID-19 kwa hawa marais wa Afrika Mashariki

Chanjo ya COVID-19 kwa hawa marais wa Afrika Mashariki

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Wakuu

166015977_869256183633309_5812453850190227093_n.jpg

Nikamtazama bwana Yoweri Museveni wa pale Uganda

166160668_186066276660777_1448482026680048806_n.jpg

Kisha nikamtazama Uhuru Kenyatta

165471905_440036653966531_1465314303645557785_n.jpg

Nikaja kumtazama Paul Kagame , huyu kidogo nikashtuka misimamo yake inarandana sana na Hayati Magufuli nikajiuliza maswali machache ambayo kidogo yanahitaji majibu mengi, huenda hata wewe ukawa wajiuliza kuhusu hilo swala🤔

Mara

Ikaniingia hofu, yangu ya kwanza kuhusu COVID-19 na cha ajabu hofu hiyo ikanishangaza zaidi ya ilivyonitisha

Where do we go??
 
Tutajuaje kama ni chanjo kweli au wanawaigizia mabwana zao wa Ulaya ambao waliwazuga wengi huku wengi wa raia zao wakizikataa na kuzishuku wazi wazi?
 
Usiwaamini sana wanasiasa....wanaweza kukuuza kwa maslahi yao na familia zao na vibaraka wao.

Yangu macho
 
kitu kinachonishangaza zaidi ni pale nchi ambazo wamechanjwa vifo na maambukizi yameongezeka mara 10 zaidi kuna nini kilichojificha cha kufanya mambo yawe mabaya zaidi kuliko kupunguza na kutokomeza kbs?!!

hizi chanjo za lazima waafrika amkeni nitakuwa wa mwisho kuchanjwa baada ya kuona matokeo kwa wengine
 
Aisee

kuna mengi sana uvunguni
 
Kagame , museveni, kenyata wote wanajipendekeza kwa mabeberu.. mfano kagame bila msaada wa wazungu hawezi kubaki madarakani rwanda hata wiki moja hatoboi..
 
Usiwe na wasiwasi Mheshimiwa Rais Samia soon ataruhusu chanjo kila mmoja atapata tena mataga ndiyo watakua wa kwanza kwasababu watawahi mbere kweri-kweri.
 
Back
Top Bottom