Chanjo ya COVID-19 kwa hawa marais wa Afrika Mashariki

kitu kinachonishangaza zaidi ni pale nchi ambazo wamechanjwa vifo na maambukizi yameongezeka mara 10 zaidi kuna nini kilichojificha cha kufanya mambo yawe mabaya zaidi kuliko kupunguza na kutokomeza kbs?!!

hizi chanjo za lazima waafrika amkeni nitakuwa wa mwisho kuchanjwa baada ya kuona matokeo kwa wengine
Ndio maana tuliambiwa tusifanye papara...
 
Kupatiwa chanjo ya ugonjwa usioeleweka eleweka ni upumbavu uliotukuka.
Sichanjwi ng'ooo....kwanza mie sio mzee wachanjwe wazee ambao ni 'old fashion' na ndo waathirika wakubwa wa huo utopolo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kitu kinachonishangaza zaidi ni pale nchi ambazo wamechanjwa vifo na maambukizi yameongezeka mara 10 zaidi kuna nini kilichojificha cha kufanya mambo yawe mabaya zaidi kuliko kupunguza na kutokomeza kbs?!!

hizi chanjo za lazima waafrika amkeni nitakuwa wa mwisho kuchanjwa baada ya kuona matokeo kwa wengine
Kuna kitu kinaitwa wave /phase ya C-19. Pitia Google usome polepole, tuko wimbi la ngapi sahi
✌️
 
Back
Top Bottom