Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Umeandika vitu vizito kweli mpendwaCovid....chip....chanjo...NWO...kukontrol dunia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Dunia si sehemu salama tena[emoji3064][emoji3064]
🥺🥺🥺🥺Umeandika vitu vizito kweli mpendwa
Aiseee ,,, yawezekana hata viongozi wao kina biden wanapewa tofauti na wanachi wanachopatiwaCovid....chip....chanjo...NWO...kukontrol dunia😭😭😭😭😭.
Dunia si sehemu salama tena🥺🥺
Aiseee kuna mambo mengi sana ndani yakeTutajuaje kama ni chanjo kweli au wanawaigizia mabwana zao wa Ulaya ambao waliwazuga wengi huku wengi wa raia zao wakizikataa na kuzishuku wazi wazi?
Umeandika vitu vizito kweli mpendwa
Umeandika vitu vizito kweli mpendwa
🥺🥺Aiseee ,,, yawezekana hata viongozi wao kina biden wanapewa tofauti na wanachi wanachopatiwa
ni zuga tu
AiseeeUsiwaamini sana wanasiasa....wanaweza kukuuza kwa maslahi yao na familia zao na vibaraka wao.
Yangu macho
KwakweliTutamkumbuka sana JPM.
Aiseekitu kinachonishangaza zaidi ni pale nchi ambazo wamechanjwa vifo na maambukizi yameongezeka mara 10 zaidi kuna nini kilichojificha cha kufanya mambo yawe mabaya zaidi kuliko kupunguza na kutokomeza kbs?!!
hizi chanjo za lazima waafrika amkeni nitakuwa wa mwisho kuchanjwa baada ya kuona matokeo kwa wengine