herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Ko unashauri nn mkuu baada ya kuyaona yote hayo
Kabisaa mkuuMabeberu Hawatupendi
Ndio maana tuliambiwa tusifanye papara...kitu kinachonishangaza zaidi ni pale nchi ambazo wamechanjwa vifo na maambukizi yameongezeka mara 10 zaidi kuna nini kilichojificha cha kufanya mambo yawe mabaya zaidi kuliko kupunguza na kutokomeza kbs?!!
hizi chanjo za lazima waafrika amkeni nitakuwa wa mwisho kuchanjwa baada ya kuona matokeo kwa wengine
kwakweliiiNdio maana tuliambiwa tusifanye papara...
Kuna kitu kinaitwa wave /phase ya C-19. Pitia Google usome polepole, tuko wimbi la ngapi sahikitu kinachonishangaza zaidi ni pale nchi ambazo wamechanjwa vifo na maambukizi yameongezeka mara 10 zaidi kuna nini kilichojificha cha kufanya mambo yawe mabaya zaidi kuliko kupunguza na kutokomeza kbs?!!
hizi chanjo za lazima waafrika amkeni nitakuwa wa mwisho kuchanjwa baada ya kuona matokeo kwa wengine
Itabidi tuende tuoneKuna kitu kinaitwa wave /phase ya C-19. Pitia Google usome polepole, tuko wimbi la ngapi sahi
✌️
wanatuchezesha shereDanganya toto hizi zote...