Chanjo ya COVID-19 mbona sisikii kampeni tena?

Chanjo ya COVID-19 mbona sisikii kampeni tena?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine?

Aisee mjini mipango!
 
Kwenye nchi hii upigaji upo kila mahala.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwani unaisikia campaign ya chnjo ya ndui?
 
Mara ya mwisho umesikia tangazo la Condom ni lini??!!, biashara za watu hizo mkuu
 
Back
Top Bottom