and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Dec 26, 2023 #1 Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine? Aisee mjini mipango!
Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine? Aisee mjini mipango!
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Dec 26, 2023 #2 Wapigaji wamepata madili mengine manono zaidi. Utachagua chanjo au kimzimu kazi
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 26, 2023 #3 Kwenye nchi hii upigaji upo kila mahala. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 2,886 Reaction score 7,000 Dec 26, 2023 #4 Kwani unaisikia campaign ya chnjo ya ndui?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Dec 26, 2023 #5 Mtanikumbuka 😂
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 5,736 Reaction score 18,648 Dec 26, 2023 #6 Mara ya mwisho umesikia tangazo la Condom ni lini??!!, biashara za watu hizo mkuu