#COVID19 Chanjo ya COVID-19: Watanzania hatujawahi kuchomwa chanjo kwa kujaza fomu kuiepusha Serikali na lawama za madhara

Maana ya mtu akipata chanjo na kujaza form ina maan gan? Mbona hizo chanjo zingin watu hawajaz form na baadhi ya chanjo zimeandikwa zisitumike Canada na UK why? Kwamba Africa n mahala pa kufanya majaribio ya izo vaccines zao
 
Nimechoma chajo ya tetanus hivi karibuni lakini sikujazishwa hizo form, kwa nini hii ya corona tujaze hizo consent form?
Hapa Kuna kitu tu
Nilitaka sema hili, nimechoma dose mbili mwezi jana na mwezi juzi, sikujaza form yoyote! Hofu kwa mwandamu ni kawaida, mimi mashaka yangu kwenye hii chanjo ni kuwa imepatikana na kuanza kutumiwa kwa haraka sana, kinyume na historia ya chanjo, yes teknolojia inazidi kuboreka, lakini ukiona kuwa chanjo zinatengenezwa miaka 10 ndio zinaanza tumika, lazima upate mashaka na iliyopatikana kwa miaka <2. Binafsi hii chanjo kwa sasa hapana, nimeugua UVIKO-19, lakini nitaipa muda sana hii chanjo ndio nije kuchanja.
 
Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo.

Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au ndugu zako watasaini kwa niaba yako.

Mfano aliotoa hauendani kabisa na utolewaji wa chanjo. Mathalani tumekuwa tukipata chanjo toka tukiwa watoto wadogo lakini hatujawahi jaza fomu za aina hiyo hata siku moja.

Vilevile kama serikali imejiridhisha kuwa hizo chanjo ni salama. Na wao ndio wamezipokea na kutudunga na kwa kuwa wao ndio wana wataalam na maabara kwanini wanaogopa kuwajibika na madhara yanayoweza kujitokeza?
Mbona simple.

USIENDE KuCHA NJA
 
Huu ni uongo, chanjo ya tetanus hujazi form. Hata hizi tunazowapeleka Watoto wachanjwe hakuna form tunajaza. ACHA UONGO
Kwa hio ulichanjwa tetanus na hujapewa yoyote?
Wabongo acheni uzushi.
Huh ndio ubishi wa kitoto
 
Ukiwaona sasa wanasiasa wanavyoishabikia chanjo nikama wametengeneza wao kwenye ofis zao za ccm, mbaya zaid kuna wale wakina fulan ambao hawana ujuz wowote, wala uelewa wowote kuhusu chanjo, lkn ukiwakuta wanavyozishabikia[emoji44][emoji44][emoji44]..kwa hili watanzania kama izo chanjo ztakuwa na athari basi watakao athirika ni wale bendera fuata upepo, maana ku a watu wamejazwa upepo na wanasiasa kwa kuona kila liletwalo na mzungu ni zuri, ukiwapinga wanakuita mjinga mara sukuma geng [emoji23][emoji23][emoji23].....tutaona soon
Kwani hata wewe una ujuzi gani na chanjo? Au ndio kuchamba kwingi.
 
Hii chanjo ipo kwenye pilot stage. No wonder Serikali haitaki kuhusika na potential consequences. Na ndio maana wamesisitiza kwamba kwenda kuchomwa ni hiari. Wanaotaka kuchoma waende tu bila kuwatisha wanaoipinga.
Nani kasema na lini kuwa chanjo hii ipo kwenye pilot stage? Serikali? Producer?
 
Maana ya mtu akipata chanjo na kujaza form ina maan gan? Mbona hizo chanjo zingin watu hawajaz form na baadhi ya chanjo zimeandikwa zisitumike Canada na UK why? Kwamba Africa n mahala pa kufanya majaribio ya izo vaccines zao
Mambo ya kwenye mitandao hayo,mjinya mmoja ka edit mabox katafuta wajinga wenzie kawaaminisha .
 
Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo.

Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au ndugu zako watasaini kwa niaba yako.

Mfano aliotoa hauendani kabisa na utolewaji wa chanjo. Mathalani tumekuwa tukipata chanjo toka tukiwa watoto wadogo lakini hatujawahi jaza fomu za aina hiyo hata siku moja.

Vilevile kama serikali imejiridhisha kuwa hizo chanjo ni salama. Na wao ndio wamezipokea na kutudunga na kwa kuwa wao ndio wana wataalam na maabara kwanini wanaogopa kuwajibika na madhara yanayoweza kujitokeza?
Shida ni kuwa wapenda viserere,aka kitonga ni wengi,kwa lugha nyingine wabambikiaji ni wengi,wanajihami usiwabambikie,huna namna yakujitibu shida zingine,mwisho usingizie chanjo,.Ushauri wa bure kachanje na jaza fomu kwa manufaa yako na taifa.
 
Watanzania si wageni wa CONSENT FORMS....

Huzijaza kila uchao wanapopelekwa kufanyiwa UPASUAJI.....

Hujaza mgonjwa ama ndugu za mgonjwa....

#TujitokezeKuchanjwa
#ChanjoNiMuhimu
 
Ukiwaona sasa wanasiasa wanavyoishabikia chanjo nikama wametengeneza wao kwenye ofis zao za ccm, mbaya zaid kuna wale wakina fulan ambao hawana ujuz wowote, wala uelewa wowote kuhusu chanjo, lkn ukiwakuta wanavyozishabikia[emoji44][emoji44][emoji44]..kwa hili watanzania kama izo chanjo ztakuwa na athari basi watakao athirika ni wale bendera fuata upepo, maana ku a watu wamejazwa upepo na wanasiasa kwa kuona kila liletwalo na mzungu ni zuri, ukiwapinga wanakuita mjinga mara sukuma geng [emoji23][emoji23][emoji23].....tutaona soon
Soon tutakuwa tunawabeba kuwapeleka na kuwatoa juani.
 
Acha uongo. Hakuna chanjo inayotelewa bila form/kadi. Hata dawa za kawaida zina kadi. Hata za Ukimwi zinatolewa kwa kadi. Clinic kama mtoto hana kadi hapewi chanjo. Ndo form hizo
sidhani kama unaelewa ulichokiandika
 
Acha maswali mengi jaza form, ingia kwenye foleni dungwa chanjo, rudi nyumbani upesi kuepusha misongamano isiyokua ya lazima na jiepushe na mahubiri ya kibwetere full stop.
 
Chanjo covid 19 imeruhusiwa kutumika kwa dharura kwa mamlaka husika WHO na CDC.
Hakuna study za kutosha kuhusu matokeo ya muda mfupi na baadaye ya chanjo hiyo.
Pamoja na hayo chanjo hiyo imeonekana inaweza kupunguza makali ya uviko 19. Mtu anapotumia chanjo hiyo kwa asili kubwa akiambukizwa uviko hawezi kuugua hadi kuwa katika hali ya kuzidiwa sana ijapokuwa madhara ya chanjo hiyo bado hayajajulikana sana.

Basi kuudhinishwa kutumika kwa dharura hakuwezi kusababisha chanjo hiyo kutumika kwa lazima. Lazima iwe kwa hiari.
Iwapo chanjo hiyo ikaja kuthibitika kuwa inafaa na kupitishwa na WHO, CDC na kuridhiwa na wote, itakuwa ni sahihi chanjo kuifanya kuwa lazima.
Swala la serikali kujitoa kwa madhara yatakayojitokeza kutokana na matumizi ya chanjo ni sahihi kabisa. Kwa sababu chanjo hiyo bado hakuna uhakika wa matokeo ya muda mfupi na baadaye. Na hapo ndipo swala kujaza fomu linapokuja.

Kwa hiyo kila mtu ni vizuri kuamua mwenyewe baada ya kusikiliza watalamu wa pande zote, wanaotetea na waopinga chanjo.
Muhimu ni kwamba chanjo haikufanyi usiambukizwe na kuugua uviko 19. Ukipanda chanjo, endelea kuchukua tahadhari.
 
kwa

kwa hiyo ni clinical trial??
 
Back
Top Bottom