Chanjo ya hepatitis b kwa wana mmu

Miss Natafuta nimekumiss sana mamii, natumai u mzima na buheri wa afya, nikutakie asubuhi njema na yenye baraka.
 
Asante mkuu Asante kwa mibaraka
Love u more
Kapate chanjo tusijeleteana maradhi

Ahsante sana sana kwa kutujali wana familia wa JF, kwa niaba yao nasema ahsante sana. Wakuu mlioko Tz muende tafadhali
 
Gharama ni sh ngp?,。。。

Dose ikoje....

Masharti yakoje

But aksante kwa kutujuza
 
Kweli wakuu, jmosi tufike pale ocean road maana haya maradhi sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…