King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wazungu wanatuletea magonjwa mengi sasa na mautafiti yao yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuelewa vema, kumbe chanjo inawafaa zaidi watotoKwa mtu mzima hiyo ni minor case...View attachment 1196747
Ahahaaanimekuelewa vema, kumbe chanjo inawafaa zaidi watoto
Wanatengeneza tatizo na kulitafutia suluhisho ili wajipigie pesa...Wazungu wanatuletea magonjwa mengi sasa na mautafiti yao yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
wazungu hii chanjo wanayo tangu 1986,kwanini sisi tuipate leo 2019?Wazungu wanatuletea magonjwa mengi sasa na mautafiti yao yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
Itakuwa ilikuwepo sema mambo ya wazungu na masharti yao ndio labda yamechelewesha sie kupata hizo channjo mapema katika hiyo miaka ya 1986.wazungu hii chanjo wanayo tangu 1986,kwanini sisi tuipate leo 2019?
Wazungu washenzi sana.Wanatengeneza tatizo na kulitafutia suluhisho ili wajipigie pesa...
Ama kweli dunia uwanja wa fujo!
Utakuwa mfanyakazi Wa afya ww,in short watu Wa kawaida bado hawajafahamu umhimu Wa hii chanjoNimepata 3 yrs ago[emoji16]
ProbablyUtakuwa mfanyakazi Wa afya ww,in short watu Wa kawaida bado hawajafahamu umhimu Wa hii chanjo
Hepatitis b au homa ya ini, huu ugonjwa ni hatari sana ukichelewa kutibiwa lakin ukiiwahi unapona,chanzo yake ni dozi tatu yaani sindano 3 ambazo huchomwa kwa interval ya miezi,maambukizi yake ni majimaji yoyote ya mwili ,including jasho,mate na vaginal fluid,katika research niliyofanya katika watu 100 watu 5 wana Hbv ,waliojuu ya miaka 18 ,gharama ya chanjo ni kuanzia 25 elfu na kuendelea kutegemea na ofa machuon au kwenye institutions