Chanjo ya hepatitis b kwa wana mmu

Wazungu wanatuletea magonjwa mengi sasa na mautafiti yao yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
Wanatengeneza tatizo na kulitafutia suluhisho ili wajipigie pesa...
Ama kweli dunia uwanja wa fujo!
 
wazungu hii chanjo wanayo tangu 1986,kwanini sisi tuipate leo 2019?
Itakuwa ilikuwepo sema mambo ya wazungu na masharti yao ndio labda yamechelewesha sie kupata hizo channjo mapema katika hiyo miaka ya 1986.
 
Hepatitis b au homa ya ini, huu ugonjwa ni hatari sana ukichelewa kutibiwa lakin ukiiwahi unapona,chanzo yake ni dozi tatu yaani sindano 3 ambazo huchomwa kwa interval ya miezi,maambukizi yake ni majimaji yoyote ya mwili ,including jasho,mate na vaginal fluid,katika research niliyofanya katika watu 100 watu 5 wana Hbv ,waliojuu ya miaka 18 ,gharama ya chanjo ni kuanzia 25 elfu na kuendelea kutegemea na ofa machuon au kwenye institutions
 
MNH gharama ni 21,000 elf saba per dose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…