Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanjo ya Hepatitis B?Kama upo Dar nenda Mnazi mmoja hospital ni elfu 30 au 40 tu
Wakati inaanza ilikuwa BURE lakini mwitikio wa watu ulikuwa mdogo sana na nyingi zili_expire.Nilikuwa napenda kujua kuhusu chanjo ya homa ya ini kama inatolewa bure ama inagharama.
Msaada wenu tafadhari.
40,000 /=Nilikuwa napenda kujua kuhusu chanjo ya homa ya ini kama inatolewa bure ama inagharama.
Msaada wenu tafadhari.
NaamChanjo ya Hepatitis B?
Mtajie na bei ya kufanya vipimo.Hospital za uma n tzs 10,000/=kwa chanjo moja,,mana unatakiwa upate chanjo 3 kwa vipindi tofauti.Hospitari za private bei zimetofautiana