FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mbu hawana uwezo wa ku-survive nchi za baridi.Malaria ipo bongo na nchi chache tu
Jiulize kwanini nchi za wenzetu hawana
Malaria?
Ova
Nani kasema hapana? Si nimeuliza tu, au?Kwa hiyo wanavyotupa dawa za malaria ni sawa ila chanjo hapana?
😂😂😂😂🤣🤣🤣Tutachoma ila kwanza waanze viongozi,mawaziri,wabunge,na askari traffic, hawa ni wa muhimu then tutafuata wanyonge baada ya miezi michache.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sasa kwa nini unazungumzia na kukazia chanjo peke yake bila ya kuzungumzia na dawa ambazo hao mabeberu huwa wanatupa pia?Nani kasema hapana? Si nimeuliza tu, au?
We jibu tu, uko tayari?Sasa kwa nini unazungumzia na kukazia chanjo peke yake bila ya kuzungumzia na dawa ambazo hao mabeberu huwa wanatupa pia?
Kushindwa kuikwepa mvua haimaanishi upige mbizi kwenye bwawa la mikojoKama dawa zao tunazitumia
hakuna mantiki yoyote kukimbia chanjo
Wakikukosa huku wanakupata kule
Bora kukubaliana na hali halisi
kati ya kansa na ngoma waanze na yipi mkuu ukiambiwa uchaguwe?Walete ya ngoma,Kansa,kisukari