Huduma ya chanjo ya homa ya manjano hutolewa hospitali ya mnazi mmoja unachotakiwa ni kufika mnazi mmoja mapema utapatiwa huduma na category za malipo ni za kawaida tuu usiogope usisahau na ya hepatitis B piaWakuu Habari zenu.. Naomba Kujuzwa.. Ni hospitali gani dar es salaam watoa huduma ya chanjo ya Manjano?(yellow fiver)... Je bei yake ni kiasi gani? Wanatoa huduma Kila siku au Kuna siku maalumu?
Sawa mkuu... Je huduma Inatolewa Kila siku au Kuna siku maaalum?Huduma ya chanjo ya homa ya manjano hutolewa hospitali ya mnazi mmoja unachotakiwa ni kufika mnazi mmoja mapema utapatiwa huduma na category za malipo ni za kawaida tuu usiogope usisahau na ya hepatitis B pia
Hapana nadhani ni jumatatu na jumatano tuu kama hawajabadili utaratibuSawa mkuu... Je huduma Inatolewa Kila siku au Kuna siku maaalum?