Chanjo ya manjano

Chanjo ya manjano

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Wakuu Habari zenu.. Naomba Kujuzwa.. Ni hospitali gani dar es salaam watoa huduma ya chanjo ya Manjano?(yellow fiver)... Je bei yake ni kiasi gani? Wanatoa huduma Kila siku au Kuna siku maalumu?
 
Nenda hospitali ya Mnazi mmoja. Nadhani ni Juma tano huwa ndio siku ya 'kuchanjwa'... Andaa kiasi cha kutosha kupata huduma ya 'fast track'...
 
Wakuu Habari zenu.. Naomba Kujuzwa.. Ni hospitali gani dar es salaam watoa huduma ya chanjo ya Manjano?(yellow fiver)... Je bei yake ni kiasi gani? Wanatoa huduma Kila siku au Kuna siku maalumu?
Huduma ya chanjo ya homa ya manjano hutolewa hospitali ya mnazi mmoja unachotakiwa ni kufika mnazi mmoja mapema utapatiwa huduma na category za malipo ni za kawaida tuu usiogope usisahau na ya hepatitis B pia
 
Sawa mkuu... Je huduma Inatolewa Kila siku au Kuna siku maaalum?
 
Back
Top Bottom