Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Umetoa jina la chanjo ambayo haipo hata kwenye list za chanjo ambazo UN ndiyo zinatumika mapendekezo ya tume ya Corona ni kufuata group ya kimataifa ambayo hii dawa haipo! Kuna dawa ya J&J na Astrazeneca . Pili badala ya kulalamika na kususia Africa tujenge viwanda vya madawa na kuwekeza kwenye uchunguzi hatujazuiwa na mtu madaktari wetu wasomi wengi wamesoma na hao hao wazungu elimu ile ile tatizo ni utekelezaji. Hatuwezi kushinda na kulalamikia wazungu kila siku kama vile sisi wote hatuna uwezo .Tuache utamaduni wa kulalamika ndiyo umetufikisha hapa.
Mkuu hebu tafakari fikra hizo za wanyama ndo zilikua zinatawala nchi!! Aisee Mungu fundi sana.