Chanjo ya Tatu Moja kwa Vifaranga

Chanjo ya Tatu Moja kwa Vifaranga

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
WanaJF ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo!

1) Ubora na matokeo ya kutumia chanjo hiyo

2) Je ni kweli inazuia magonjwa lengwa hasa kwa kuku?Ufanisi wake ukoje?

NINAOMBA MNIELIMISHE HARAKA NINA VIFARANGA NINATAKA NIVICHANJE NDANI YA SIKU TANO ZIJAZO!
 
Wanajf ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo!

Questionable its ufanisi. Wafugaji wengi hawapati matokeo wanayoyategema kutokana nan matangazo ya ubora wa chanjo hiyo! Ten thousand per vial!
 
Iko questionable kivipi? Ninaomba ufafanuzi
 
Iko questionable kivipi?Ninaomba ufafanuzi
Wafugaji wanasema hawapati protection wanayoitegemea. kulikuwa na semina ya wafugaji, almost all complained. Walijibiwa kuwa labda temperature chain of custody ndilo tatizo... temperature ya 4C
 
wafugaji wanasema hawapati protection wanayoitegemea. kulikuwa na semina ya wafugaji, almost all complained. walijibiwa kuwa labda temperature chain of custody ndilo tatizo....temprature ya 4C
Nashukuru sana kwa mrejesho!
 
Wanajf ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo!

1) Ubora na matokeo ya kutumia chanjo hiyo

2) Je ni kweli inazuia magonjwa lengwa hasa kwa kuku?Ufanisi wake ukoje?

NINAOMBA MNIELIMISHE HARAKA NINA VIFARANGA NINATAKA NIVICHANJE NDANI YA SIKU TANO ZIJAZO!
Kama hiyo chanjo ni ile imetengenezwa na SUA, usijaribu kutumia nakuambia utafirisika, ufanisi haina kabisa, kile chuo tafiti zake ni za uongo nyingi.
 
Mimi naitumia kuchanja kroiler inasaidia...

Nilichojifunza baada ya kuwa najaribu vifaranga vya kampuni tofauti tofauti...

.. magonjwa ya kuku inategemea na eneo ulipo na vifaranga husika.. waulize wafugaji wenzako watakupa jibu sahihi chanjo gani utumie eneo lako...

Nadhan ni kama ilivyo mbegu hizi za hybrid...
 
Mimi naitumia kuchanja kroiler inasaidia...
Nilichojifunza baada ya kuwa najaribu vifaranga vya kampuni tofauti tofauti..
.. magonjwa ya kuku inategemea na eneo ulipo na vifaranga husika.. waulize wafugaji wenzako watakupa jibu sahihi chanjo gani utumie eneo lako...
Nadhan ni kama ilivyo mbegu hizi za hybrid...
Nashukuru kwa ushauri
 
Mie huwa natumia tatu moja Ila ni ya kichina, inafanya vizuri tu.
Ni mara mbili sasa majirani wanapata hasara sababu hawachanji, mie kwangu napeta tu.Huwa nanunua mbezi karibu na QB Lounge.
 
Tupe jina lake Mkuu
 
Mie huwa natumia tatu moja Ila ni ya kichina, inafanya vizuri tu.
Ni mara mbili sasa majirani wanapata hasara sababu hawachanji, mie kwangu napeta tu.Huwa nanunua mbezi karibu na QB Lounge.
Tatu moja ya kichina? Tupe picha yake
 
Tatu moja ya kichina? Tupe picha yake
Hii project ni ya mama watoto wangu, ingawa mie ndiye mwalim wake 100% nikiwa nyumbani pia huwa nahusika.

Mie nafanya kazi Moro na yeye yupo DSM, nikipata picha nitawaletea hapa.
 
OK!Sasa hiyo ya kichina inapatikana wapi?Mwonekano wake unatofauti gani na hiyo ya Morogoro?
 
Post #13 hapo juu nimetaja location. Kama upo dsm ni rahisi kupafaham.
Muonekano wake Haina tofauti na ile ya Morogoro.
 
Sasa nina uzoefu wa miaka minne kwenye ufugaji wa ndege hao, nimetumia chonjo tofauti na hiyo kwa mafanikio, kosa niliyofanya ni kuiamini tatu moja, kwani nilipoteza 100% ya vifaranga, mbaya zaidi hata nilipojaribu kutumia contact walizoweka hawakujibu kitu. Be careful.
 
Mimi nakushukuru sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom