Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sua wanajulikana ni miyeyusho tu,mimi hasara niliyopata sababu yao siwezi kusema hata mfugaji au mkulima aende pale kwa shida yoyote,acha waendelee kukaririshana notes na kujisifu ila huku field wametufilisi.Sasa nina uzoefu wa miaka minne kwenye ufugaji wa ndege hao, nimetumia chonjo tofauti na hiyo kwa mafanikio, kosa niliyofanya ni kuiamini tatu moja, kwani nilipoteza 100% ya vifaranga, mbaya zaidi hata nilipojaribu kutumia contact walizoweka hawakujibu kitu. Be careful.
Duh!Mbona imenitisha Sana,ngoja na Mimi nifute kabisa tafiti zaoSua wanajulikana ni miyeyusho tu,mimi hasara niliyopata sababu yao siwezi kusema hata mfugaji au mkulima aende pale kwa shida yoyote,acha waendelee kukaririshana notes na kujisifu ila huku field wametufilisi.
Una namba zao naomba niwachekMie huwa natumia tatu moja Ila ni ya kichina, inafanya vizuri tu.
Ni mara mbili sasa majirani wanapata hasara sababu hawachanji, mie kwangu napeta tu.Huwa nanunua mbezi karibu na QB Lounge.