Questionable its ufanisi. Wafugaji wengi hawapati matokeo wanayoyategema kutokana nan matangazo ya ubora wa chanjo hiyo! Ten thousand per vial!Wanajf ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo!
1) Ubora na matokeo ya kutumia chanjo hiyo
2) Je ni kweli inazuia magonjwa lengwa hasa kwa kuku?Ufanisi wake ukoje?
NINAOMBA MNIELIMISHE HARAKA NINA VIFARANGA NINATAKA NIVICHANJE NDANI YA SIKU TANO ZIJAZO!
Iko questionable kivipi? Ninaomba ufafanuziQuestionable its ufanisi. Wafugaji wengi hawapati matokeo wanayoyategema kutokana nan matangazo ya ubora wa chanjo hiyo! Ten thousand per vial!
Wafugaji wanasema hawapati protection wanayoitegemea. kulikuwa na semina ya wafugaji, almost all complained. Walijibiwa kuwa labda temperature chain of custody ndilo tatizo... temperature ya 4CIko questionable kivipi?Ninaomba ufafanuzi
Nashukuru sana kwa mrejesho!wafugaji wanasema hawapati protection wanayoitegemea. kulikuwa na semina ya wafugaji, almost all complained. walijibiwa kuwa labda temperature chain of custody ndilo tatizo....temprature ya 4C
Kama hiyo chanjo ni ile imetengenezwa na SUA, usijaribu kutumia nakuambia utafirisika, ufanisi haina kabisa, kile chuo tafiti zake ni za uongo nyingi.Wanajf ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo!
1) Ubora na matokeo ya kutumia chanjo hiyo
2) Je ni kweli inazuia magonjwa lengwa hasa kwa kuku?Ufanisi wake ukoje?
NINAOMBA MNIELIMISHE HARAKA NINA VIFARANGA NINATAKA NIVICHANJE NDANI YA SIKU TANO ZIJAZO!
Nasikia ni ya SUA!Kama hiyo chanjo ni ile imetengenezwa na SUA,usijaribu kutumia nakuambia utafirisika,ufanisi haina kabisa,kile chuo tafiti zake ni za uongo nyingi.
Asante kwa ushauriHamna kitu hiyo chanjo mkuu utapata hasara nilichanja vifaranga out of 60 nimebaki na vinane ndui ilivimaliza bora uchome chanjo ya ndui ya kawaida
Nashukuru kwa ushauriMimi naitumia kuchanja kroiler inasaidia...
Nilichojifunza baada ya kuwa najaribu vifaranga vya kampuni tofauti tofauti..
.. magonjwa ya kuku inategemea na eneo ulipo na vifaranga husika.. waulize wafugaji wenzako watakupa jibu sahihi chanjo gani utumie eneo lako...
Nadhan ni kama ilivyo mbegu hizi za hybrid...
Tupe jina lake MkuuMie huwa natumia tatu moja Ila ni ya kichina, inafanya vizuri tu.
Ni mara mbili sasa majirani wanapata hasara sababu hawachanji, mie kwangu napeta tu.Huwa nanunua mbezi karibu na QB Lounge.
Tatu moja ya kichina? Tupe picha yakeMie huwa natumia tatu moja Ila ni ya kichina, inafanya vizuri tu.
Ni mara mbili sasa majirani wanapata hasara sababu hawachanji, mie kwangu napeta tu.Huwa nanunua mbezi karibu na QB Lounge.
Hii project ni ya mama watoto wangu, ingawa mie ndiye mwalim wake 100% nikiwa nyumbani pia huwa nahusika.Tatu moja ya kichina? Tupe picha yake
OK!Sasa hiyo ya kichina inapatikana wapi?Mwonekano wake unatofauti gani na hiyo ya Morogoro?Hii project ni ya mama watoto wangu, ingawa mie ndiye mwalim wake 100% nikiwa nyumbani pia huwa nahusika.
Mie nafanya kazi Moro na yeye yupo DSM, nikipata picha nitawaletea hapa.
Post #13 hapo juu nimetaja location. Kama upo dsm ni rahisi kupafaham.OK!Sasa hiyo ya kichina inapatikana wapi?Mwonekano wake unatofauti gani na hiyo ya Morogoro?
Mimi nakushukuru sana kwa ushauriSasa nina uzoefu wa miaka minne kwenye ufugaji wa ndege hao, nimetumia chonjo tofauti na hiyo kwa mafanikio, kosa niliyofanya ni kuiamini tatu moja, kwani nilipoteza 100% ya vifaranga, mbaya zaidi hata nilipojaribu kutumia contact walizoweka hawakujibu kitu. Be careful.