#COVID19 Chanjo ya UVIKO-19: Wasiotaka kuchanjwa wafunguliwe kesi ya kutaka kujiua

Upuuzi mtupu
1637564698709.png
 
Wadau,

Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban 52,000+ ndani ya masaa 24 ambacho ni kiwango kikubwa ukilinganisha na waves zilizopita huko nyuma, na kwamba wengi wa waathirika ni wale ambao wanapinga kupewa chanjo.

Jana tumesikia jirani zetu kenya wametangaza ifikapo Desemba mosi kuwanyima access ya kuingia mahotelini na kwenye mabasi ya abiria wale ambao hawajapata chanjo.

Tukumbuke kuwa kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, Tanzania kwa sasa ni majira ya joto, na kwamba historia inatuonyesha changamoto za uviko-19 inaiathiri nchi yetu na majirani zetu tunapoanza kuingia majira ya hanjo ili

Huu ni mtazamo na maoni ya mdau Sema Kimeumana, Sauti ya Mtu aliaye Nyikani.
kwe bara jeusi lolote linawezekana
 
Tuchanje mnatupa shilingi ngapi ngapi?, bora iwe nibiashara kila mtu afaidike sasa.
 
Kwa hio itabidi wabadili kauli ili iseme CHANJO NI LAZIMA. Na pia kwamba kutakua na adhabu kwa watakaogoma... na pawepo na mobile clinics kwa ajili ya maeneo yasiyo na zahanati...au?
 
Mdanganyeni tu Hangaya!
Hamumuhurumii mwenzenu?
Kila Kona analaumiwa.

Chama kilishamgomea chanjo,maana wanachama hawajachanjwa.
Wanachama 8m.wangekubali zilikuwa ziishe siku moja.

Unataka awalazimishe wananchi?wewe Kama unechanjwa kufa tu na misumu yako.
 
Wadau,

Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban 52,000+ ndani ya masaa 24 ambacho ni kiwango kikubwa ukilinganisha na waves zilizopita huko nyuma, na kwamba wengi wa waathirika ni wale ambao wanapinga kupewa chanjo.

Jana tumesikia jirani zetu kenya wametangaza ifikapo Desemba mosi kuwanyima access ya kuingia mahotelini na kwenye mabasi ya abiria wale ambao hawajapata chanjo.

Tukumbuke kuwa kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, Tanzania kwa sasa ni majira ya joto, na kwamba historia inatuonyesha changamoto za uviko-19 inaiathiri nchi yetu na majirani zetu tunapoanza kuingia majira ya masika/baridi kuanzia Mwezi March hadi June.

Tumeona jitihada za serikali na vyombo karibu vyote vya habari zikihamasisha wananchi kupata chanjo ili kujiwekea kingamwili kupambana na corona. Hata hivyo tunaona mwitikio wa watu bado mdogo.

Kwakuwa wananchi ndiyo rasilimali ya kwanza kwa serikali, na kwamba serikali ina wajibu mkubwa kuwalinda na kuwapigania raia wake wawe wenye nguvu na afya njema wakati wote, napendekeza yafuatayo:

1. Suala la chanjo liwe la lazima kwa watu wote wenye sifa ya kupata chanjo
2. Asasi za serikali na taasisi binafsi wapewe wajibu kuhakikisha wafanyakazi wao wanapewa chanjo
3. Wale wanaokataa kupewa chanjo wafunguliwe kesi ya kutaka kujiua kwa makusudi.

Huu ni mtazamo na maoni ya mdau Sema Kimeumana, Sauti ya Mtu aliaye Nyikani.
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.

Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi?
 
Mambo usiyoyaelewa vzr ni bora kukaa kimya
SOMA MANDIKO UENDE MBINGUNI SALAMA
HIZO MBWEMBWE WAACHIE WANASIASA.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Kuchanjwa ni hiyari siyo lazima MKUU. Hata ukichanjwa sio garantii kwamba utaishi milele kifo kipo pale pale.

Tusitishane kaka wacha tupambane na hali yetu wanaotaka chanjo ni hiyari yao na wasiotaka maamuzi yao yaheshimiwe.
 
Mie nilichanja. Narudi tena tarehe 14 Disemba kumaliza dozi ya pili.
Iwe itavyokua. Anayependa achanje, asiyependa pia atajijua mwenyewe. Tusilazimishane.
 
Back
Top Bottom