Zaburi 23
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 570
- 658
Naona watu wanajadili sana kuhusu hii chanjo kuwa ina madhara, Wengine wanasema ukichoma baada ya miaka 10 unageuka zombi, wengine unageuka magnetic unaganda kwenye vyuma ngoja niwatoe matongotongo kidogo.
Miaka kadhaa kipindi tunakua kuna chanjo nyingi tu tulichomwa mwilini mwetu eg. Chanjo ya surua, Nduli, tetekuwanga, matone, dawa za minyooo, dawa za kichocho nk.
Lakini skuwahi kuskia mtu akizipinga kama hizi za sasa ilihali hakukua na ulazima wa kuchanja kama ilivyo sasa na je wazungu wangekua na lengo la kututeketeza kipi kingewafelisha ikiwa miundombinu yote bora ipo kwao?
Hivi hata kufikiria hatujifikiriii. Mimi ni mzanzibari pure kabisa na kule kwetu huwa tuna msemo mmoja na huwa unasema hivi "Mtanzania ni kama ngozi ya vutu na hata ukimuosha vipi bado ataendelea kunuka harufu ya kutu"
Chonde chonde chanjo ni hiari na afya yako ni muhimu kuliko kitu chochote usiwe ngoz ya vutu ukaendelea kunuka kutu kila uoshavyo kachome chanjo kwa mustakabali wa maisha yako achana na maneno ya mwendazake...
Shukrani.