#COVID19 Chanjo ya Uviko 19

#COVID19 Chanjo ya Uviko 19

Zaburi 23

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
570
Reaction score
658
Naona watu wanajadili sana kuhusu hii chanjo kuwa ina madhara, Wengine wanasema ukichoma baada ya miaka 10 unageuka zombi, wengine unageuka magnetic unaganda kwenye vyuma ngoja niwatoe matongotongo kidogo.

Miaka kadhaa kipindi tunakua kuna chanjo nyingi tu tulichomwa mwilini mwetu eg. Chanjo ya surua, Nduli, tetekuwanga, matone, dawa za minyooo, dawa za kichocho nk.

Lakini skuwahi kuskia mtu akizipinga kama hizi za sasa ilihali hakukua na ulazima wa kuchanja kama ilivyo sasa na je wazungu wangekua na lengo la kututeketeza kipi kingewafelisha ikiwa miundombinu yote bora ipo kwao?

Hivi hata kufikiria hatujifikiriii. Mimi ni mzanzibari pure kabisa na kule kwetu huwa tuna msemo mmoja na huwa unasema hivi "Mtanzania ni kama ngozi ya vutu na hata ukimuosha vipi bado ataendelea kunuka harufu ya kutu"

Chonde chonde chanjo ni hiari na afya yako ni muhimu kuliko kitu chochote usiwe ngoz ya vutu ukaendelea kunuka kutu kila uoshavyo kachome chanjo kwa mustakabali wa maisha yako achana na maneno ya mwendazake...

Shukrani.
 
Tambua kwamba kila jambo linawakati wake, ni lazima pia ujue tupo katika nyakati ipi. Mbona hujiulizi kwann chanjo za magonjwa mengine hazikuleta mtafaruko? Kwanin ni hizi za corona tu?

By the way alipo mjinga hakosi mwenye akili.
 
Naona watu wanajadili sana kuusu hii chanjo kuwa ina madhara, Wengine wanasema ukichoma baada ya miaka 10 unageuka zombi, wengine unageuka magnetic unaganda kwenye vyuma ngoja niwatoe matongotongo kidogo...
Ugonjwa wenyewe chenga, chanjo zenyewe chenga hayo magonjwa yote uliyotaja chanjo zake hazikuja ndani ya mwaka au miaka 2 baada ya hayo magonjwa akili kumkichwa kuchagua ni hiari
 
Waambie chanjo inaondoa na virus vya ukimwi watakimbilia hao
 
Ugonjwa wenyewe chenga, chanjo zenyewe chenga hayo magonjwa yote uliyotaja chanjo zake hazikuja ndani ya mwaka au miaka 2 baada ya hayo magonjwa akili kumkichwa kuchagua ni hiari
Nimeshuhudia wengi tu wamepotezwa na huu ugonjwa so akili kichwani mwako na kupanga ni kuchagua mimi nitachanja ...
 
Tambua kwamba kila jambo linawakati wake, ni lazima pia ujue tupo katika nyakati ipi. Mbona hujiulizi kwann chanjo za magonjwa mengine hazikuleta mtafaruko? Kwanin ni hizi za corona tu?

By the way alipo mjinga hakosi mwenye akili.
Mchungaji tupo katika nyakati zipi ebu tujuze [emoji1787]
 
Nimeshuhudia wengi tu wamepotezwa na huu ugonjwa so akili kichwani mwako na kupanga ni kuchagua mimi nitachanja ...
Na nimeshuhudia wengi wanaumwa na kupona pia ikiwemo mimi mwenyewe.........fanya maamuzi tokana na experience yako ila sio mambo ya kupangiana
 
Ulipima wapi ukaambiwa una covid [emoji1787]
 
[emoji3581]
FB_IMG_16274482234571742.jpg
 
Nimeshuhudia wengi tu wamepotezwa na huu ugonjwa so akili kichwani mwako na kupanga ni kuchagua mimi nitachanja ...
Acha kbs mpendwa, huu ugonjwa ni noma watu wanajisemea masihara tu, usiombe likukute wewe binafsi au mmojawapo kwenye familia yako.
 
Ulipima wapi ukaambiwa una covid [emoji1787]
Hospitali mbn wanapima na majibu unaambiwa! Binafsi niliugua na kupimwa na majibu nilipewa, sema wengi wanaenda hosp ndogo ndogo kwa kuhofia kupimwa ,hosp zote za mikoa , rufaa wanapima.
 
Lakini skuwahi kuskia mtu akizipinga kama hizi za sasa ilihali hakukua na ulazima wa kuchanja kama ilivyo sasa na je wazungu wangekua na lengo la kututeketeza kipi kingewafelisha
Takwinu za wazungu wanaokufa baada ya kupewa chanjo hujazisikia
 
Naona watu wanajadili sana kuhusu hii chanjo kuwa ina madhara, Wengine wanasema ukichoma baada ya miaka 10 unageuka zombi, wengine unageuka magnetic unaganda kwenye vyuma ngoja niwatoe matongotongo kidogo.

Miaka kadhaa kipindi tunakua kuna chanjo nyingi tu tulichomwa mwilini mwetu eg. Chanjo ya surua, Nduli, tetekuwanga, matone, dawa za minyooo, dawa za kichocho nk.

Lakini skuwahi kuskia mtu akizipinga kama hizi za sasa ilihali hakukua na ulazima wa kuchanja kama ilivyo sasa na je wazungu wangekua na lengo la kututeketeza kipi kingewafelisha ikiwa miundombinu yote bora ipo kwao?

Hivi hata kufikiria hatujifikiriii. Mimi ni mzanzibari pure kabisa na kule kwetu huwa tuna msemo mmoja na huwa unasema hivi "Mtanzania ni kama ngozi ya vutu na hata ukimuosha vipi bado ataendelea kunuka harufu ya kutu"

Chonde chonde chanjo ni hiari na afya yako ni muhimu kuliko kitu chochote usiwe ngoz ya vutu ukaendelea kunuka kutu kila uoshavyo kachome chanjo kwa mustakabali wa maisha yako achana na maneno ya mwendazake...

Shukrani.
.
FB_IMG_1627543391783.jpg
 
Back
Top Bottom